Search results

  1. S

    Nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya Kompyuta Arusha

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  2. S

    Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
  3. S

    Natafuta msichana wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi. Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri...
  4. S

    Msaada jinsi ya kujiunga na auxiliary police na malipo yao yakoje?

    Habari mimi ni mtafuta kazi naomba kuuliza hawa auxiliary police wanajiunga vipi na depo wanapigia wapi na malipo yao nataka nijiunge elimu yangu ni diploma umri ni miaka 24
  5. S

    hizi tutazisoma mpaka za kiarabu

    jamani watu tumesoma kwa shida inafikia mtu unatembea toka ubungo mpaka posta kutafuta degree sababu ya ugumu wa maisha unapata ajira serikali inasitisha ajira kupisha uhakiki mpaka leo mambo hayaeleweki watoto wa masikini mnatuua jamani kila jitihada zinashindikana tu.
  6. S

    Nafasi za kazi security officer TANESCO

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL ADVERTISEMENT Background – TANESCO TANESCO - Welcome to TANESCO website Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanians. Next to its current...
  7. S

    Usaili mamlaka ya anga vipi?

    Wanajamvi naomba kujuzwa kwa mwenye kujua kuhusu usaili Mamlaka ya Anga kwa nafasi zilizotangazwa mwezi Desemba mwaka jana. Natanguliza shukrani.
  8. S

    Establishing simple LAN

    Habar wadau naomba msaada ninataka kufungua internet cafe vifaa nilivyonavyo ni computer (8) switch( 16ports) Rj-45 na cable modem naombeni simple explanation about how to connect between switch and computer and how to determine if computer is connected to switch welcome
  9. S

    Kutuma maombi ya kazi TANROADS

    Wanajamii wenzangu naomba ushauri kuna tanroads wametangaza ajira mimi nipo kwenye mko husika ambako hizo ofisi za tanroads zinaajiiri nilituma maombi kwa njia ya posta ila nimesikia wenzangu wamepeleka pale pale ofisini kwa mkono, je nitapata haki sawa na wale waliopeleka kwa mkono? Au naweza...
  10. S

    Office attendant ni nan? Malipo yakoje serikalini?

    Wadau naomba majibu ya maswali hapo juu
  11. S

    Utata viettel

    Wadau naomba kujuzwa kuhusu hawa viettel wametoa same posts kwa awamu tatu tofauti kuna MTU ashawah itwa kwenye usaili katika kipindi cha april , June and July?
Back
Top Bottom