hizi tutazisoma mpaka za kiarabu

siz

Senior Member
Jan 26, 2015
132
195
jamani watu tumesoma kwa shida inafikia mtu unatembea toka ubungo mpaka posta kutafuta degree sababu ya ugumu wa maisha unapata ajira serikali inasitisha ajira kupisha uhakiki mpaka leo mambo hayaeleweki watoto wa masikini mnatuua jamani kila jitihada zinashindikana tu.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,443
2,000
Kwani ajira zinapatikana serikalini tu?

Na kwa nini usome shule/ chuo kwa matarajio ya kuja kuajiriwa serikalini?

Siasa za ujamaa na kujitegemea zimetulemaza sana aisee!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom