Nadhan hawa nao watakua na system km ya TRA,yan huwa wanachukua muda sana kuita wa2 kwny usahiliWanajamvi naomba kujuzwa kwa mwenye kujua kuhusu usaili Mamlaka ya Anga kwa nafasi zilizotangazwa mwezi Desemba mwaka jana.
Natanguliza shukrani.
Pamoja sana hata mm niliomba nafasi ya mkaguzimugesela said:Hata mm niliomba asee