Kutuma maombi ya kazi TANROADS

Kutuma maombi ya kazi TANROADS

siz

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
135
Reaction score
25
Wanajamii wenzangu naomba ushauri kuna tanroads wametangaza ajira mimi nipo kwenye mko husika ambako hizo ofisi za tanroads zinaajiiri nilituma maombi kwa njia ya posta ila nimesikia wenzangu wamepeleka pale pale ofisini kwa mkono, je nitapata haki sawa na wale waliopeleka kwa mkono? Au naweza andika tena barua halaf nikapeleka kwa mkono na mimi kama wenzangu naombeni ushauri kitaa kugumu
 
MAELEKEZO yanaelekeza ufanye nini fata instructions. Anyway umesema upo mkoa husika nenda kaulizie HAPO HAPO tanroad wakufahamishe
 
nafas zote za tanroad au serkal lazma uigizie pesa kwa kwenda kupost na kwa mkono hamapokei
 
Jaribu kupitia vizur post yangu uielewe kwamba kuna applicant wanapeleka barua moja kwa moja na mimi nimetumia posta
 
Hakuna haja ya kupeleka kwa mkono,maana zote zinaenda kurundikwa sehemu moja?
Umeomba nafasi gani na una elimu gani?maana tanroads nao ni walewale kama akina Tra.
 
Wanajamii wenzangu naomba ushauri kuna tanroads wametangaza ajira mimi nipo kwenye mko husika ambako hizo ofisi za tanroads zinaajiiri nilituma maombi kwa njia ya posta ila nimesikia wenzangu wamepeleka pale pale ofisini kwa mkono, je nitapata haki sawa na wale waliopeleka kwa mkono? Au naweza andika tena barua halaf nikapeleka kwa mkono na mimi kama wenzangu naombeni ushauri kitaa kugumu

hcho k2 hakpo na hakwezekan kupeleka barua kwa mkono haipo kabxa
 
Inategemea leo nimepeleka nakala nyingine kwa mkono wamepokea na wengi wamepeleka kwa mkono wakiacha chukua za posta tunakutana kwende hand delivery and viceversa
 
kwa hiyo kwa akili yako fupi unadhani wanaweza wasichukue barua za posta mkuu?
 
hv kijna bado hujapata kazi tu ! Halaf unawadharau wenzako wanaotaka kujaribu acha dharau

issue sio mie kupata kazi au kumdharau mtu,maswali mengine ni ya kijinga humu,eti mtu anasema barua za posta hazichukuliwi,asa c wengesema only hand delivery allowed.
Huu ujinga wa kuteteana na kuoneana aibu ndio umelifikisha hili taifa mahali hapa lilipo leo.
 
Mwanangu usikonde nili maanisha sicho ulichoelewa wewe hii forum ambapo mtu anaweza toa maoni au kupokea maoni na ushauri halaf kuna kazi ya usimamiz wa kupiga kura
 
nimekusoma kiongozi,hzo za kusimamia kura tumewaachia madogo ambao hawana pa kujishikiza,ila kama sikosei deadline yake ni leo saa 11 jioni.
 
nafas zote za tanroad au serkal lazma uigizie pesa kwa kwenda kupost na kwa mkono hamapokei

hapana ni trick tu, mi nilituma kwa ems tanesco na tpdc na juu ya bahasha nikatype "private and confidential" na zote nikaitwa kwenye usaili pamoja na kuwa ni graduate na nilipotezea interview ya tanesco nikaenda tpdc na nikafanikiwa......... usiingize masuala ya rushwa unapotafuta unajikatisha tamaa bure!
 
ivi umeelewa jamaa alichokua anamaanisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom