Nafasi za kazi security officer TANESCO

siz

Senior Member
Jan 26, 2015
135
25
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES

INTERNAL ADVERTISEMENT

Background – TANESCO TANESCO - Welcome to TANESCO website
Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanians. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient, customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company is investing heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites applicants who are self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill the under-mentioned posts.

Specific attributes for the Positions to be filled:
All Candidates must:
 Demonstrate impeccable performance track record;
 Demonstrate highest degree of integrity;
 Possess good communication and interpersonal skills; Intelligence and Investigation skills
 Be self-driven and capable of working with minimal supervision;
 Be capable of delivering excellent results while working under pressure with tight deadlines;
 Must be Computer literate.

SECURITY OFFICER (4 POSTS)
Reports To: Regional Manager
Reporting Office: Kigoma, Songwe, Head Office

POSITION OBJECTIVE:

Implementation of security operations and all matters relating to protection of Company assets, property, infrastructure and systems as well as conducting investigations into all sorts of crime, irregularities, misconduct and conflicts in the Company.

PRINCIPAL ACCOUNTABILITIES:

1. Conduct Internal Investigations on issues of theft, embezzlement, sabotage, labour unrest, dishonesty, major electrocutions as well as all sorts of crimes with a view of establishing causes, identifying culprits and the truth to support disciplinary and legal actions.
2. Undertake enquiries from complaints and/or allegations raised by customers against staff or staff against fellow staff to ensure the company has reliable information to support the necessary disciplinary and legal actions.
3. Work hand in hand with relevant authorities, state organs and individuals to identify offenders of crimes related to vandalism of company infrastructure for appropriate legal actions.
4. Patrol and supervise all guard posts manned by hired local security firms to ensure reliability and authorized movements of property and personnel, and investigate any irregularities.
5. Assist the regions in with regards to information received through whistle blowers and issues related to fraud and vandalism of company infrastructure to ensure appropriate measures are taken to eliminate the risks.
6. Provide support to legal officers in matters related to preparation of key records exhibits and case files for easy of reference, follow up and successful closure of the cases.

ACADEMIC QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
1. Bachelor’s degree of any discipline or its equivalent from a recognized higher learning Institution.
2. Minimum of 3 years of related experience in a reputable company, Police force or Security organization.
3. Certificate of training on security matters from Police or any other reputable security training institution.


HOW TO APPLY:
Interested candidates may apply by sending a detailed application letter, clearly stating why you should be considered for the position and how you will add value to the company. All applications must be accompanied with a detailed curriculum vitae, copies of relevant certificates, testimonials and contacts of three referees to be submitted not later than 25th May 2017.

Application letters should also indicate details of secondary school certificates such as candidate’s name, index number and year of examination appearing in the attached academic certificates.

Applications should be submitted and addressed to:

SENIOR MANAGER HUMAN RESOURCES,
TANESCO LTD,
UMEME PARK, UBUNGO
P. O BOX 9024
DAR ES SALAAM
 
Walinzi siku hizi lazima Uwe Una Degree?

Na hapa hata watu ambao hawafanyi Kazi Tanesco wataomba halafu wanakuja kulalamika mbona hawaiti watu kwenye Interview.
 
degree Elimu ya kawaida sana sasa hv watu na degree zao na wengine ndo wametunukiwa ubashite na degree zao Sikh zilizopita ndo fulsa hzo waombe
 
hiyo sio security guard ni security officer..... two things different
Si Kweli Hizo term ziko sawa Unajidanya
IMG_20170514_130306_249.JPG
 
duh siamini MTU una cheti cha military una degree halaf upo mtaani au uache kazi polisi
,jwtz, ukawe security officer usimamie watu wa Suma jkt hahahah wataenda wanaohitaji
 
Vijana waliosomea bachelor ya law enforcement fursa hiyo maana wao wanazijua investigaions na security matters A to Z
 
Kati ni internal advertisment hivyo wanaotakiwa kuomba ni wafanyakazi/wanaofanya kazi tanesco kwa mkataba.

Internal advats hua haziko open kwa externals hivyo kua makini unapomba, angalia kuhusu hilo maana kama ni internal watakaopewa kipaumbele ni watu wao wa ndani kwanza labda wawe hawapo.
 
kuna kigezo cha mafunzo ya kijeshi hapo licha ya kuwa na hyo BALE
Kweli na pia kuna watu wengi wenye mafunzo ya kijeshi na BaLe, si unajua hii ilikua special kwa in-service
 
Kweli na pia kuna watu wengi wenye mafunzo ya kijeshi na BaLe, si unajua hii ilikua special kwa in-service
Kati ni internal advertisment hivyo wanaotakiwa kuomba ni wafanyakazi/wanaofanya kazi tanesco kwa mkataba.

Internal advats hua haziko open kwa externals hivyo kua makini unapomba, angalia kuhusu hilo maana kama ni internal watakaopewa kipaumbele ni watu wao wa ndani kwanza labda wawe hawapo.
Kwahiyo ambao sio wafanyakazi wa tanesco hawaruhusiwi kutuma?
 
Kwahiyo ambao sio wafanyakazi wa tanesco hawaruhusiwi kutuma?
Siwezi kusema wombe au wasiombe ila tangazo liko wazi sasa ni uamuzi wa mtu kuomba au kuacha.

Ni sawa na kukuta tangazo la kazi linataka 8 years of experience labda with ACCA, bado huwezi kumzuia mtu mwenye CPA na 2 years of experience asiombe ingawa tangazo liko wazi.

Mimi ninachokijua ni kua internal job vacancies hua ni kwa ajili ya watumishi wanaofanya kazi hapo iwe kwa mkataba maalum au internship hivyo inapotokea nafasi ya ajira ndani ya hiyo shirika hao interns au temporary employees hupewa kipaumbele.

Mashirika/ taasisi za umma hua zina utaratibu wa kutangaza kazi internally kwa maana anataka watu wa ndani waombe post iliyotangazwa kama ni senior job post au junior au wakatangaza internal and external kuruhusu watu wote wa nje na ndani kuomba, hata baadhi ya mabenki pia hua wanafanya hivyo.
 
Hizi posts waliishaita watu? Kuna dogo langu aliomba mpaka sasa anaona kimya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom