Utata viettel

siz

Senior Member
Jan 26, 2015
135
25
Wadau naomba kujuzwa kuhusu hawa viettel wametoa same posts kwa awamu tatu tofauti kuna MTU ashawah itwa kwenye usaili katika kipindi cha april , June and July?
 
June kuna watu waliitwa interview...., ni kawaida mpaka wapate mtu sahihi. UN iliwahi tangaza kazi kwa muda wa miaka 3, na kulikuwa na interview kila baada ya miezi miwili
 
interview zipo ukifaulu utaitwa tuu kutangulia kufanya sio sababu...mi nilipiga sijaitwa.....ila Mungu mkubwan nimepata kwingine pia...rafiki yangu kapiga Bach. Law kapita interview kashaanza kazi....hivo fani ynyingi zipo hapo wanahiotaji....mi ni IT na wanahitaki sana Eng wa network na watu wa fiber etc
 
Jiajiri umiliki kampuni yako kama Mimi Mungu akipenda huwa nauhakika wa tsh 50.000.000 kwa mwezi. Naajiri vijana nawalipa laki nane before tax wananiana gwiji sana wakati sometimes naona huruma wataishije. Jichomoe upo kwenye trap mbaya sana mkuu
 
Ni vizuri zaidi ukaweka mawazo yako hapa ili kuwasaidia na vijana wengine wasio na ajira waweze kujiajiri mkuu kwani kusema tu jiajiri haitoshi kumkomboa asiye na ajira.

wanahitajika watu wenye uzoefu katika soko la ajira ili kuwasaidia wengine pia jinsi ya kujikwamua katika giza nene mkuu.
 
achana na debe shinda huyo
 
Back
Top Bottom