Search results

  1. komunisti

    Hivi shisha ni kilevi cha aina gani na mchanganyo wake ukoje?

    Wakuu mm ni wa mikoani huku hebu nitoeni ushamba kidogoHivi inavutwaje hasa,na inawekwa kwenye kifaa kipi?
  2. komunisti

    Nimeweka nadhiri ya kutofuatilia hili bunge la chama kimoja hadi 2025 litakapofika tamati

    Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
  3. komunisti

    Ni hatua zipi za kufuata ili kufundisha soka barani ulaya?

    Wadau kama kichwa cha habari kilivyo,nielekezeni
  4. komunisti

    Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

    Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
  5. komunisti

    Yuko wapi O.T wa kitenge?

    Habarini wakuu,naomba kuuliza hivi huyu jamaa O.T wa kitenge siku hizi yuko wapi?Nilikuwa namkubali sana enzi hizo EATV na kipindi cha JUKE BOX baadaye akahamia TBC.Nashauri wadau mlioko humu mnaomiliki vituo vya tv mtafuteni huyu jamaa muanzishe vipindi vya oldies,yaan mm napenda sana nyimbo za...
  6. komunisti

    Msaada simu ya huawei y 540 inajizima

    simu yangu aina ya huawei y540 imejizima ghafla nimeiflash mara mbili inatulia kwa muda wa kama wiki mbili then inazima vp hapo tatizo ni nini?na mpaka sasa nikiichaji haiingizi tena chaji
  7. komunisti

    Mjue shetani alivyo

    Habari wadau,karibuni mjadala
  8. komunisti

    Korea Kusini na Kaskazini ilikuwaje wakatengana

    Habari wakuu,nasikia korea kusini na kaskazini ilikuwa taifa moja yaani korea.Sasa sababu gani ilsababisha taifa hili la korea kumeguka na kuzaliwa Korea mbili?mwenye data tafadhali
  9. komunisti

    Simu yangu SMS za zamani zinajirudia rudia

    Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn tatizo?nifanyeje kuondoa tatizo hili?
Back
Top Bottom