Shisheh or abhla bharat embroidery (Persian شيشه, abhala bharat; Hindi: आभला भरत, abhla bharat; Gujarati: આભલા ભરત), or mirror-work, is a type of embroidery which attaches small pieces of mirrors or reflective metal to fabric. Mirror embroidery is common throughout Asia, and today can be found in the traditional embroidery of the Indian subcontinent, Afghanistan, China, and Indonesia.
Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia...
Hahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.
Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.