Simu bado ina inasoma vizuri ktk pc yako.Na firmwere ulioflashia kama scatter file hakikisha limekalika au tafuta bin file kwa huawei ndiosimu yangu aina ya huawei y540 imejizima ghafla nimeiflash mara mbili inatulia kwa muda wa kama wiki mbili then inazima vp hapo tatizo ni nini?na mpaka sasa nikiichaji haiingizi tena chaji