Search results

  1. hazole1

    Naomba kuuliza. Ni upi umri sahihi wa mtoto kuanza kung'oa meno?

    Kuna mtoto wa kike nilikuta nae maeneo flani hivi nikaona ameng'oa meno yote ya mbele. Na alikuwa kama anamiaka 6 ambaye ni sawa na umri wa mtoto wangu. na mm hapa kuhusu mtoto wangu hajang'oa jino hata moja nikahisi labda mtoto wangu meno yanaweza kuja kuanza kuoteana. na ukizingatia watoto...
  2. hazole1

    Naona wakoloni wameanza kuchanana makavu

    Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  3. hazole1

    Serikali wakumbukeni polisi kuwanunulia hata mabuti

    Najua ktk nchi hii kuna matatizo mengi sana zaidi ya yale ambayo tunayaona. kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiwaona polisi wakiwa ktk hali ambayo sii ya kulidhisha. kuanzia kimuonekano wa kimavazi nk. Na ukizingatia polisi hawa watu wanawatumia ktk mambo yao mengi sana. Lakini juzi nimeshangaa...
  4. hazole1

    aliye chonga hii sanamu ya mwalimu nyerere ututake radhi.

    Sisi mwalimu nyerere tulikuwa tunamfahamu jamaa haiwezekani akachukue picha ya babu yake halafu akawadanganyishia watu kwamba ndio mwalimu nyerere. Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  5. hazole1

    Mtu anayefanana na Rais Magufuli azua taharuki kituo kikuu cha mabasi Moshi

    Kuna mtu mwingine kufafana na mtu fulani inakuwa ni kosa. Kwa jinsi saizi maisha yalivyo magumu kuna watu wanaweza wakamkuta huyo mzee wakamtandika makofi wakijua ni makufuli kabisa. Kwahiyo serikali ingefikira kumtafutia ulinzi. Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  6. hazole1

    Huyu jamaa atakumbukwa kwa mengi lakini la kwanza ni ukarimu

    Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  7. hazole1

    Tembea uone

    Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  8. hazole1

    Huo ndio mwisho wa urafiki wa fisi

    Wakati duniani watu wanajitahidi kutafuta marafiki wa kweli. hata wakuja kuzikana tu. lakini huu ndio urafiki wa fisi mm nikajuaga fisi huwa wanatamaa kwa vitu vingine tu. Kumbe huwa wanajifanyaga wanauomoja wanawinda pamoja wakula mifupa pamoja. Lakini kumbe ni wanafiki tu. na kila fisi...
  9. hazole1

    Hivi huyu mnyama anaitwaje?

  10. hazole1

    Huyu dogo inaonekana alipata hasara sana

  11. hazole1

    Huyu jamaa ni shujaa wa wapi

    Duniani mtu haitakiwi ujiulize utafia wapi. ila cha msingi inabidi ujiulize siku ukifa utakumbukwaje. Leo ktk pita pita zangu nimekutana na hiyo picha na nimependa jinsi alivyo kumbukwa na nikataka kumjua kiundani zaidi huyo shujaa ni nani.
  12. hazole1

    Upinzani wa Tanzania ni mojawapo ya pinzani dhaifu sana Afrika

    Na inawezekana kabisa mwaka 2020 upinzani wasipate mbunge hata mmoja. kila kitu duniani ukitaka kufanikiwa ni lazima ucheze tekniki kali sana. hasa kwenye maswala ya kisiasa. Hata vyama vingi vikubwa afrika na duinani kwa ujumla wanafanya hivyo. Tunajua ktk nchi yetu upinzani umepitia ktk...
  13. hazole1

    Hili ndio tatizo la simu original hadi watu wengi wanaona bora tecno

    Kama jinsi mnavyo fahamu simu original ni bei sana na wafanya biashara wanapo amua kufanya biashara wanaangalia ni wapi kwenye urahisi. Mm kama fundi nimeweza kugundua kwamba simu nyingi ambazo zipo sokoni tanzania ni original saketi tu lakini vitu vingine vyote vinakua havina ubora ule...
  14. hazole1

    Kila mtu inabidi acheze game.

    Kuna watu ukiwaambia maswala ya kucheza game atakuambia hayo maswala ya kucheza game ni watoto tu. lakini wanasahau kwamba watu wanaotengeza hayo magame ni watu wenye akili nyingi sana. Mm ni mcheza magame mzuri sana ikipita siku mbili sijacheza sijiskii vizuri. Na siku moja nilijiuliza hivi...
  15. hazole1

    Kwa kufungwa JamiiForums, nimegundua blog nyingi za Tanzania ni wabaguzi

    Siku zote imekuwa ni kawaida mitandao ya kijamii kubadilishana habari na ninadhani utamaduni wa habari ndio upo hivyo kwa sababu hii dunia ni kubwa sana kwahiyo chombo kimoja cha habari tu hakiwezi kujikamilisha. Na ninawashukuru sana uongozi wa JF ukileta hapa habari lazima waombe na chanzo...
  16. hazole1

    Wanaharakati wa haki za wanyama hivi huwa hamuoni mbwa wanaogongwa?

    Barabarani nimeona imekuwa ni kawaida kwa wiki lazima nikute mbwa wawili au tatu wamekufa kwa kugongwa na magari na tena mara nyingine unakuta ni katikati ya mji lakini unakuta yule mbwa kila gari linalopita pale lazima liikanyage hadi unakuta mbwa amebaki vipande vipande. Afadhali hapo Iringa...
  17. hazole1

    Kwanini pasaka ya leo imegongana na siku kuu ya wajinga?

    Najiuliza kwanini pasaka kila mwaka inakuwa na tarehe yake? Na kwanini pasaka ya leo wasinge itenganisha na siku kuu ya wajinga. Ili kuipa pasaka uzito? Kwasababu leo watu wengi kila kitu wanakichukulia ni masihara tu. Au kuwekwa sikuu ya wajinga na pasaka siku moja ni fumbo ambalo wakristo...
Back
Top Bottom