NdioHuyu mnyama anapatikana tanzania
Mnyama huyu anaitwa Mhanga (pia Muhanga), Fundi Mchanga, Kukukifuku au loma. Kwetu tunamuita NAGA na Wazungu humuita Aardvark. Anapendelea kutembea usiku (noctural mammal) na ni fundi wa kuchimba mashimo na anakula chungu na mchwa.
kusini utasikia mbocha