Kila mtu inabidi acheze game.

Kila mtu inabidi acheze game.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Kuna watu ukiwaambia maswala ya kucheza game atakuambia hayo maswala ya kucheza game ni watoto tu. lakini wanasahau kwamba watu wanaotengeza hayo magame ni watu wenye akili nyingi sana.
Mm ni mcheza magame mzuri sana ikipita siku mbili sijacheza sijiskii vizuri.

Na siku moja nilijiuliza hivi ni kwanini play store kuna magame mengi sana. na ukijaribu kuangalia karibia nusu ya app za kule ni magame. na kuna magame ya kila aina ambayo yanaendana kila mtu. Na ndio nikaja kugundua ktk dunia hii ya ushindani inabidi kila mtu acheze game. wao wanaita brain training.

Na haya ni baadhi ya magame ambayo nacheza kila siku kwa mfano maze,na maze & more, Puzzly, na nisipo cheza lazima game lenyewe niliniandikie meseji.



Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom