Serikali wakumbukeni polisi kuwanunulia hata mabuti

Serikali wakumbukeni polisi kuwanunulia hata mabuti

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Najua ktk nchi hii kuna matatizo mengi sana zaidi ya yale ambayo tunayaona. kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiwaona polisi wakiwa ktk hali ambayo sii ya kulidhisha. kuanzia kimuonekano wa kimavazi nk.
Na ukizingatia polisi hawa watu wanawatumia ktk mambo yao mengi sana.

Lakini juzi nimeshangaa zaidi kumkuta polisi kiatu kimeisha soli hadi anatembea kama mtu mwenye matege. Kwa muonekano ule wa viatu hata polisi akiniambia muhalifu amemkimbia siwezi kushangaa.









Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Tunawakumbusha kwamba polisi nao ni moja wapo ya watanzania ambao wanaishi kwa tabu.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Hao sio wakutetewa Aisee ... wamejaa dhulma
tapatalk_1547403765836.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngozi zimejaa na magereza wapo wa kutengeneza
Yaani Africa tutaamka lini?


Sent from my SM using Tapatalk
 
Kwahiyo pesa ya kiwi wanaiweka kwenye mfuko upi?.
Kama viatu hawana na zakiwi wasichukue.
 
Serikali ina vitu vingi vya kufanya kwan pesa mnayo pata haitoshi kununua buti? Hapo hapo mnataka nyumba,mishahara,kuwa kuboreshea mazingura ya kazi,vitendea kazi,acha ubinafsi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila hizo boot asalaleeee zisiwe ndio za kukwatulia watu ngwara!!
 
Kangi Lugola atalifanyia kazi wazo lako.
 
Kangi Lugola atalifanyia kazi wazo lako.
 
Back
Top Bottom