Huyu dogo inaonekana alipata hasara sana

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
FB_IMG_1535281293419.jpeg
 
Imewahi kunitokea hii walimuuwa paka wangu kwa sumu na nilikuwa na umri kama huu huu ila mfupi kwa kimo,yule kiumbe nilikuwa nimemfundisha asubuhi ananiamsha,ananisindikiza kwenda shule mpaka mwisho wa shamba letu na wakati wa wakurudi ananisubiri pale pale tulipoachana asubuhi,nikimpa chakula akishamaliza kula alikuwa anakuja kushukuru kwa kuweka mguu kwenye kichwa changu,na mengine mengi.

Kinachoumiza hapo ni ukikumbuka jinsi ulivyojitahidi na kukomaa kumfundisha na baadhi ya mbinu kuwa umezisahau.
 
Ila ulisahau kumfundisha kuwa akipewa msosi na mtu mwingine asile. Pole kwa kusahau hilo
 
Huyu mtoto anafuraha ya kweli kuliko wengi wetu humu ndani hakuna Raha kama kufuga pet animals Na kukawa Na bond kati yako Na yeye hutojuta
 
Ila ulishau kumfundisha kuwa akipewa msosi na mtu mwingine asile. Pole kwa kusahau hilo
Dah mkuu,sikuzingatia hili unajua mazingira ya vijijini wote tunaonana wema so sikutegemea kutokea mtu wa kufanya hivyo.

Nakiri ilikuwa kosa kubwa sana but nadhani akili za kitoto zilichangia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom