Kama uandishi umefikia hivi basi biashara ya magazeti imekufa

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
d2fb105941c90baaab3ec61cb7d3a0bf.jpg
 
Hao ndio waandishi wa kileo, ndio ujue elimu imeshuka sana. Mwanafunzi anayehesabiwa anajua kusoma na kuandika hadi leo hajui kutofautisha neno hamna - amna, hapana - apana..... kazi kweli kweli tubaki kusema kiswahili ni lugha yetu...... hii ni aibu
 
Wauza unga 800 mbaroni.

Chini picha ya Mengi na Mchina.
 
Hao ndio waandishi wa kileo, ndio ujue elimu imeshuka sana. Mwanafunzi anayehesabiwa anajua kusoma na kuandika hadi leo hajui kutofautisha neno hamna - amna, hapana - apana..... kazi kweli kweli tubaki kusema kiswahili ni lugha yetu...... hii ni aibu
Well said mkuu
Na hakuna kitu kinachonikera kama neno "EMBU" Kwenye sentence mfn "Embu twambie......"What is embu means??

[ Edited]
 
kwa mtu ambaye akili ya imetulia hawezi kununua gazeti lenye sentensi tata kama hizo kwa kweli, waandishi mahiri hawapo siku hizi.
 
Back
Top Bottom