...huyo jamaa ni wa South Africa,..aligoma kuwapigia magoti makaburu _wakamuua na alikata roho huku akisisitiza watu wapambane mpaka tone la mwisho dhidi ya udhalimu wa makaburuView attachment 953972
Duniani mtu haitakiwi ujiulize utafia wapi. ila cha msingi inabidi ujiulize siku ukifa utakumbukwaje.
Leo ktk pita pita zangu nimekutana na hiyo picha na nimependa jinsi alivyo kumbukwa na nikataka kumjua kiundani zaidi huyo shujaa.
Hii ndio raha ya JF,hakuna linaloshindikana humu,Big up mkuu.Huyo ni Solomon Mahlangu alikua shujaa wa kijeshi wa chama cha ANC Africa ya kusini kitengo kilichojulikana kama Umkhonto we Sizwe, alipokamatwa na makaburu alihukumiwa kifo na alinyongwa mpaka kufa mwaka 1979.
Yeah ,jina nimelisahauHuyo jamaa alifanya vizuri sana.
...exactlyHuyo ni Solomon Mahlangu alikua shujaa wa kijeshi wa chama cha ANC Africa ya kusini kitengo kilichojulikana kama Umkhonto we Sizwe, alipokamatwa na makaburu alihukumiwa kifo na alinyongwa mpaka kufa mwaka 1979.
Huyu ni shujaa wa CHADEMAView attachment 953972
Duniani mtu haitakiwi ujiulize utafia wapi. ila cha msingi inabidi ujiulize siku ukifa utakumbukwaje.
Leo ktk pita pita zangu nimekutana na hiyo picha na nimependa jinsi alivyo kumbukwa na nikataka kumjua kiundani zaidi huyo shujaa.
Siku hizi tuna kizazi cha kubeti na kutukanana huko Insta!!Kizazi icho kwa sasa hakipo tena [emoji123]
THUBUUUUTU!Huyu ni shujaa wa CHADEMA
duhView attachment 953972
Duniani mtu haitakiwi ujiulize utafia wapi. ila cha msingi inabidi ujiulize siku ukifa utakumbukwaje.
Leo ktk pita pita zangu nimekutana na hiyo picha na nimependa jinsi alivyo kumbukwa na nikataka kumjua kiundani zaidi huyo shujaa ni nani.
[emoji15]Atakuwa ni tumtemeke sanga
Ni mtindo mpya wa mapambanoSiku hizi tuna kizazi cha kubeti na kutukanana huko Insta!!
Mmmmmh! HAWAMFIKII HUYUChadema
Huyo ni Solomon mahlangu mpigania uhuru wa South Africa anakumbukwa kama mpigania uhuru mdogo sana na aliyejitoa kwa hali na mali aligoma kuwatetemekea makabulu na kuuwaw kwa kunyogwa hadi kufa akiwa na umri wa miaka 23 tu. ..ujumbe aliyoutoa kabla ya kufa ni huu.
‘My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that I love them. They must continue the fight.’ - Solomon Kalushi Mahlangu
Ktk kumuenzi sisi tanzania kuna kampasi ya wasouth Africa kule morogoro mazimbu ilipewa jina la solomoni (kampasi ndogo ya chuo cha sua pia) na shule ya msingi moja nzuri sana sijui sahivi kama bado ipo.