Hivi ndio vitabu vinavyotuharibia watoto wetu

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
FB_IMG_1525375133574.jpeg
 
Wizara ishatoa ufafanuzi lakin bado mnabwabwaja tuu..
We akili yako ni kama ya hiyo wizara yako. Kwana nini wakubali kutoa Vitabu vya ovyo kiasi hicho kwa watoto wetu. Watu Wa aina yako wanaotetea ujinga ndo Wa...chawi Wa nchi hii kabisa.
 
We akili yako ni kama ya hiyo wizara yako. Kwana nini wakubali kutoa Vitabu vya ovyo kiasi hicho kwa watoto wetu. Watu Wa aina yako wanaotetea ujinga ndo Wa...chawi Wa nchi hii kabisa.
Kwenye suala la vitabu ,si kila kitabu kinachotolewa bas kimeidhinishwa na wizara kufundishia darasan hapana,labda ungetuonesha kwamba hicho kitabu kimeidhinishwa...pia kumbuka kupitia taarifa ya wizara waliyotoa Leo kuhusu issue ya vitabu
 
We akili yako ni kama ya hiyo wizara yako. Kwana nini wakubali kutoa Vitabu vya ovyo kiasi hicho kwa watoto wetu. Watu Wa aina yako wanaotetea ujinga ndo Wa...chawi Wa nchi hii kabisa.
Hicho kitabu kwa taarifa yako hakipo shuleni.
Kama kipo hakijapita mikonini kwa wizara ya elimu.
Vitabu vilivyopo ni vya TET.
HIKI HAKIPO
 
Kitabu rasmi cha darasa la kwanza kina kurasa 171.

Cha darasa la pili kina kurasa 40.

Darasa la pili unajifunza mambo robo ya darasa la kwanza.

Source: James Mbatia bungeni
 
Back
Top Bottom