Search results

  1. Mr Suprize

    Kuna mtu anafahamu au kusikia kuhusu Royal Q?

    Kuna mtu kanishirikisha Hii ishu ya kuitwa Royal Q , kwa maelezo yake kaniambia Royal Q ni Trading Robot ambalo linatrade sarafu za kidigitali cryptocurrencies , Kinachofanyika mtaji unaweka kwenye account yako ya Binance halafu unaruhusu robot liwe linafanya Trading , Kila siku unakutakana na...
  2. Mr Suprize

    Kwanini gharama nyingi ya huduma za kibenki zinafichwa?

    Sijajua ni bank nayotumia Mimi tu au ni bank zote hapa Tanzania. Bila kutaja jina la bank Nimekuja kugundua gharama za huduma zao haziwekwi wazi ili mteja afanye maamuzi kulingana na hizo gharama. Huduma nyingi gharama zake unakuja kuzifahamu baada ya matumizi. Mfano gharama za kutuma pesa...
  3. Mr Suprize

    Nitumie njia gani kuzuia MB zisitumike pale watu wanapoazima simu yangu kuingia mtandaoni?

    Habari zenu wakuu? Kuna hii tabia mtu anaazima simu yako hafu anaingia mtandaoni kuperuzi Mambo yake iwe kubet au kuingia YouTube na kutumia MB zako, Mimi kwangu imekuwa kero naomba msaada nitumie njia ipi kuzuia MB Zisitumike hata Kama Data zikawa on? Kuwanyima simu moja moja ni ngumu ila...
  4. Mr Suprize

    SoC02 Mambo 7 Yanayoweza kupunguza tatizo la Ajira Tanzania

    Kumekuwa na Maoni mengi ya wadau wakishauri Mtaala wa Elimu ubadilishwe , huu uliopo kwa Sasa hauendani na mahitaji ya Taifa letu kwa Sasa . Umeshindwa kabisa kutatua Changamoto ya Ajira na kuwafanya watumiaji wa Mtaala huu kutegemea Zaidi ajira za serikali. Kwa Maoni yangu nafikiri Ni sahihi...
  5. Mr Suprize

    Wapi nitapata hiki kifaa (Automatic soap dispenser)

    Wakuu habari! Naomba anayefahamu hiki kifaa cha kuitwa automatic soap dispenser anisaidie niweze kukipata, au Kama unauza Basi tujulishane. Hiki kifaa ni automatic kwa ajili ya kunawa mikono, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mr Suprize

    Nisaidieni nashindwa kutumia bluestacks kwenye pc

    Habari za kaz wakuu!! Samahan Nimesha install hii bluestacks sasa nikiifungua inaload muda mrefu ,Mara unatokea ujumbe huo pichani .. Nisaidien nifanyeje hapo
  7. Mr Suprize

    Msaada king'amuzi cha DStv

    Wakuu habari zenu !!! Naomba kuuliza je DStv ving'amuzi vyao vinatumia na umeme Wa DC (Direct current)??? Nitashukuru kwa msaada wenu
  8. Mr Suprize

    Money is Power (MP) ni nini?

    Wakuu habari yenu! Kwanza niseme sijaanzisha huu Uzi kwa lengo La kupromote au kuponda biashara ya MTU. Mimi binafsi nahitaji kujua Yale ambayo siyajui kama tujuavyo JF ni pana na ina kila aina ya watu! Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii , kupitia mtandao Wa Facebook nilikutana...
  9. Mr Suprize

    Dk. Hamis Kigwangalla aikana kampuni ya Qnet

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa Instagram amekana kuwafahamu wamiliki waendeshaji wa biashara ya QNET > Soma nukuu niliyoiweka hapa chini! Nimeona nitoe ufafanuzi kwenye hili jambo. Maana kila mjadala juu ya hii kampuni ya QNet unapoibuka, jina langu...
  10. Mr Suprize

    Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

    Hellow good people! Baada ya bitcoin kuvumbuliwa kama cryptocurrency ya kwanza kuanza kutumika duniani , kumekuwa na shauku ya watu wengi kutaka kuwekeza katika bitcoin lakini inawawia vigumu kutokana na bei yake kuwa juu mno , thamani ya bitcoin 1 iliwahi kufika million 40 za kitanzania , kwa...
  11. Mr Suprize

    Ujumbe mzuri sana kwa wanawake/wasichana

    WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO! Simwongelei mtu ni ujumbe kutoka kwa mdau wa masuala ya wanawake anaitwa Lu-Patie! Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao! Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako...
  12. Mr Suprize

    Tukumbushane, Matukio makubwa yaliyotokea Tanzania kwa mwaka 2017.

    Ikiwa zibaki siku na masaa machache tuweze kukamilisha mzunguko mzima Wa mwaka 2017 , kuna matukio kadhaa yaliweza kutokea Tanzania ndani ya mwaka 2017 na yalichukua nafasi sana kwenye vyombo vya habari, social media na hata kwenye mikusanyiko ya watu. Uzi huu ni maalumu kwa kukumbushana...
  13. Mr Suprize

    Maajabu yatokea shule ya msingi Tingi ,Wanafunzi wakumbwa na ugonjwa wa ajabu.

    Kuna hali ya taharuki imeikumba shule ya msingi Tingi iliyopo wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma. Shule hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1947 imekumbwa na tatizo la wanafunzi wake kuzirai, kupatwa na mapepo ya ajabu na baadhi ya wanafunzi kuwa katika hali ya ukichaa na kuanza kuwapiga wanafunzi wenzao...
  14. Mr Suprize

    Doctors nisaidieni dawa ya kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo

    Habari zenu wakuu! Samahani naomba msaada wa jina la dawa inayopatikana phamarcy au kwenye maduka ya dawa inayoweza kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo ili nikainunue..pia kwa wale wanaozijua dawa za asili msisite kushare uzoefu wenu na wapi zinaweza kupatikana hizo dawa. Natanguliza...
  15. Mr Suprize

    Kama upo Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe na Ruvuma ni zamu yako kupata elimu kuhusu Forex.

    Habari wakuu! Baada ya kutoa training dar kuhusu forex , TMT (The Million Team) chini ya usimamizi wa boss ONTARIO sasa ipo mbioni kuanza kutoa mafunzo hayo kwa wale watu wa mikoani ,, mafunzo haya yanatarijiwa kuanza kutolewa kikanda. kwa upande wa nyanda za juu kusini nazungumzia mikoa ya...
  16. Mr Suprize

    Facebook kupata likes nyingi kwa muda mfupi hii imekaaje wadau?

    Mambo vipi wadau? Hivi inakuaje mtu hana publicity yoyote katika jamii lakini akipost chochote fb reaction zinakuwa kubwa sana tena kwa muda mfupi? Yani unakuta akipost dakika hiyohiyo likes elfu 12 na point au kuna namna wanafanya? nitoeni tongotongo wadau !!!!
  17. Mr Suprize

    Tuliokimbia hesabu Sekondari tukutane hapa

    Habari zenu wadau! Hebu tuambie ni hesabu gani ulikuwa huzipendi kipindi upo Sekondari, na zipi ulikuwa unazipenda Sana..... Binafsi hesabu za maumbo nilikuwa nazichukia Sana, yani nikiletewa Pepa nikiona tu michoro ya maumbo hata sisomi Hilo swali navunga kama sijaona vile[emoji12]...
  18. Mr Suprize

    Ni mbaya kuroot simu ya kampuni ya vodacom iitwayo Alcatel

    Wakuu nataka niroot hii simu ya kampuni ya vodacom ambayo naitumia kwa ajili ya kukamilisha usajili Wa line zao, maana android zote zinazopita mikononi mwangu lazima nipige root ndo nitumie. Vipi ni mbaya nikifanya hivyo maana simu ipo chini ya kampuni?
  19. Mr Suprize

    Wenyeji wa mji kasoro bahari piteni hapa....

    Wakuu poleni na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa. kuna suala dogo nahitaji uzoefu wenu juu ya hizi kampuni mbili za sukari zilizowekeza katika mkoa wa MOROGORO, hapa nazungumzia kampuni ya sukari ya mtibwa na Kilombero. 1.hivi ni kweli hizi kampuni zina miliki mashamba makubwa ya miwa...
Back
Top Bottom