Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

Mr Suprize

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
823
845
Hellow good people!
Baada ya bitcoin kuvumbuliwa kama cryptocurrency ya kwanza kuanza kutumika duniani , kumekuwa na shauku ya watu wengi kutaka kuwekeza katika bitcoin lakini inawawia vigumu kutokana na bei yake kuwa juu mno , thamani ya bitcoin 1 iliwahi kufika million 40 za kitanzania , kwa sasa bitcoin moja inathamani ya Tsh Million 16.++,.
Uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kushirikishana cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa na kuhold mpaka mwisho Wa mwaka 2018. Mimi binafsi nitaanza na coins kadhaa ambazo nimeziona kibongo bongo tunaweza kuziafford kutia mpunga wetu humo na ukahold mpaka December 2018 bila stress.

1. Action coin Log In ‹ Action Coin — WordPress
Hii coin niliwahi kuona mdau mmoja kaitambulisha humu ndani anaitwa budot uzi wake huu Action coin (Coin mpya kuzinduliwa mwezi march)
Kwa kuongezea kidogo hii ni coin ambayo ipo kwenye pre lunch ,inatarajiwa kuwa lunched ifikapo tarehe 1 March 2018. Ila kwa sasa wapo kwenye pre sale ya tokens zao na ratiba yao ipo kama ifuatavyo,
February 9 to 15: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.005 USD. You must register to participate.
February 16 to 20: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.01 USD. You must register to participate.
February 21 to 25: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.02 USD. You must register to participate.

Kingine pia kutoka action coin ukifanya signup kwa sasa wanakupa free coin 1,000 , ofa hii inatafungwa tarehe 1 March 2018. Kazi kwako.!

2.Ethereum cash pro Ethereum Cash Pro
Hii pia ni coin ambayo ipo pia kwenye pre lunch inatarajiwa kuwa lunched tarehe 22 February 2018 . Price ya coin moja kwa sasa ni 0.001 . ALSO wanatoa free coins 10,000 ukifanya sign up kwa sasa.

3.WCX WCX
Hii pia ni coin ambayo ipo kwenye pre lunch. Tarehe 25 February 2018 itakuwa lunched rasmi. Kwa sasa Price ya coin moja ni $0.10 inakadiriwa hadi kufikia mwisho Wa mwaka price itafika $500 kwa coin moja, nao pia wanatoa free coins 50 kwa members wapya wanaojisajili.

4.Legit coin Legitcoin Presents Cryto Revolution
Hii ni new coin ambayo imeshakuwa lunched tangu tarehe 15 January 2018,, kabla haijazinduliwa price ya 1legit ilikuwa $0.001,
Saizi naandika Uzi huu thamani ya 1legit ni $2.05. Na kwa mujibu Wa MARK LEE founder Wa hii coin anadai hadi kufikia mwezi March 2018 thamani ya coin 1 itafika $70. Pia Inasemekana hii coin mpaka kufikia December 2018 itafika $700 kwa coin moja.
Kitu pekee ambacho wamekujana nacho hawa jamaa ni kwamba wapo mbioni kutengeneza Master cards za legit coin ambazo Zitaitwa LEGIT CARD , ambapo zitakuwa zinatumika kwa ATM Mashine yoyote duniani kwa ajili ya withdraw za legitcoin na other cryptocurrencies zilizopo duniani,

4b48a20d4189b63353d9057ae355bbc7.jpg

Kwa sasa ukijisajili wanakupa free coins 5 tu. Kujisajili ni simple unaingia sehemu ya Sign up then unajaza email na nywira yako , baada ya hapo watakutumia email kwa ajili ya kucomfirm e-mail yako, ndani ya hiyo Email utakayotumiwa kutakuwa na link pamoja na activation key , chakufanya utacopy zile activation key , hafu utabofya ile link iliyopo ndani ya email , itakupeleka kwenye sehemu yenye kibox utapaste zile activation key then kwa chini pia kunakibox cha kuthibitisha you're not a robot hakikisha panakuwa ticked , then bonyeza continue. Utakuwa umemaliza

Kwa sasa niishie hapo niwapishe wadau wengine kwa mawazo na michanganuo mingine juu hizi digital money pamoja na currencies za kuweza kuwekeza kwa sasa.
 
Atakayefuata mawazo yako atakutana na "surprise"
 
[][/Nielewesheni kuhusu Crypotocurrency Tanzania International Ltd]
 
Samahani hiyo SEC ni kwa nchi ya marekani, Japan pia wana ya kwao same as India, Korea Kusini,Malaysia, Singapore as well as EU just to name the few. Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri Wa taarifa juu ya blockchain technology hasa upande Wa Cryptocurrency utakuwa umeona jinsi January na February hizi bodies zilivyokua zinatema cheche.
 
China wao Central bank yao ilipiga marufuku Cryptocurrency trading kutokana na coin nyingi sana kuanzishwa ambazo zilikua ni scams. Walivyohisi wao ulikua ni mpango Wa mataifa ya magharibi kuchota pesa toka kwa wananchi wa China maana ndio walikua player wakubwa Wa soko. Hiyo ilikua late last year
 
Ni Swali zuri na la msingi sana. Atakayekujibu ni tag mkuu.
Yaani majitu hayakomi! Ngozi nyeusi sijui ni nani aliyeturoga na kutoweka na tunguli!

Next time ukitaka kuongea mambo kama haya uwe na data za kutosha,

Umeona wapi ngozi nyeusi ndo watumiaji wakubwa wa crypto

Hao ngozi nyeupe wao ndo kabisa mpaka manunuzi unayafanya kwa crypo

Hujui kama billgate mark buffet na matajiri kibao wana mizigo ya kutosha huko kwenye crypo

Tumia muda na simu yako vizuri mkuu kama kuna sehemu huelewi unaeleweshwa na kama haupo intersted kama mm usikatishewatu tamaaa
 
Ndugu thibitisha kama hao matajiri uliowataja wana mizigo yao huko unapopasema
 
Mark kuna post aliiweka Fb January 4 2018 saa 18:40 pitia isome .

Hata hivyo list ya watu na makampun yalitia mpunga kwenye hii bzness ni km ifuatavyo kwa kifup
1.Wakwanza ni Bill Gates-Founder of Microsoft ndio maana hata hivi sasa unaweza ku purchase Product za Microsoft na ukalipa kwa bitcoin na ukitaka ushahid wake yeye mwenyewe akielezea kuhusu bitcoin upo nitakupatia ukija inbox. Au google Youtube "Bill Gates accept bitcoin" utapata majibu.
2.Eric Schmidt -CEO of Google huyu pia ni mjasiliamali wa bitcoin.
3.John McAfee - Founder of McAfee
4.Sir Richard Branson - Founder of virgin Records,virgin Galactic and 400+ other business
Wapo matajir wengi kiukweli bila kusahao makampuni ya gari kama Lamborghin, Be forward nao wanapokea malipo ya Bitcoin, Dell, NYSE, SUBWAY etc. Acknowledge elite wa Geita
Asante sana

Bahat mbaya situmii facebook

All in all nmekusoma
 
Back
Top Bottom