Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
Wakuu habari!
Naomba anayefahamu hiki kifaa cha kuitwa automatic soap dispenser anisaidie niweze kukipata, au Kama unauza Basi tujulishane.
Hiki kifaa ni automatic kwa ajili ya kunawa mikono, View attachment 1394876
Sent using Jamii Forums mobile app