Search results

  1. Maty

    Habari njema kwa Vibonge!

    Habari senyu kwa mpigo. Kwa wale wenzangu na mimi vibonge suluhisho hili hapa. Hapa kati niliongezeka uzito kwa kiwango kikubwa sana, kasheshe ikawa ni jinsi gani nitapungua kufanya mazoezi kidogo ni mvivu na pia hata muda wa kufanya mazoezi sina. Nimekunywa juice ya ukwaju wapi? maji moto na...
  2. Maty

    Wababa/kaka hivi ni kweli

    Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada...
  3. Maty

    Tupeane mawazo wapendwa

    Huwa najiuliza mara nyingi lakini nakosa jibu zuri, naomba nipate mawazo tofauti tofauti, inaweza kutusaidia wengi wetu. Wanandoa wengi hasa wa miaka ya sasa, wakikorofishana korofishana baada ya muda wanachoamua ni tuachane bwana kila mtu ataanza nataka niishi kwa amani, nahitaji furaha mimi...
  4. Maty

    Dunia ina mambo

    Leo asubuhi nimekutana na huyu mtoto akanikumbusha hichi kisa, kinaweza kutusaidia pia kujifunza kitu. Ni cha kweli wapendwa msianze kuchakachua Kuna jirani yetu alizaa na mwanaume watoto wawili hawakufunga ndoa ila waliishi pamoja kwa muda na kuachana maisha yakaendelea. Kuna kipindi...
  5. Maty

    Kafumaniwa

    Habari zenu wana Jf, nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta. Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi...
  6. Maty

    Uionapo hii tafadhali fungua mpendwa unahitajika msaada wa haraka

    Hivi wapenzi, mtu unakua na mpenzi wa toka enzi hizo mko vijana anaondoka anaenda kusoma anarudi mnaanza tena mahusiano anakwambia anataka mzae unamwambia subiri kidogo nimalizie mambo Fulani, anasema poa hazipiti siku unamkuta na demu anakwambia huyu tulikutana tu sio mtu wangu kivile...
  7. Maty

    Kwa nini iko hivi wapendwa?

    Wapwaz na binamuz habari za asubuhi, wakubwa shikamoni, natumaini mmeamka salama wapenzi. Hebu nisaidieni katika hili kwa nini inatokea anaekupenda wewe humpendi na matokeo yake unampenda ambae anakutamani tu lakini hana upendo na wewe na mwisho wa siku anakuumiza? Kwa wasioolewa nimelenga hasa...
  8. Maty

    Toka nianze kuingia JF

    Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia...
  9. Maty

    No divorce at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Ladies and Gentle men!!!! If Women Would Welcome Their Husband Like this There Will Be No Divorces Pole kwa kazi mume wangu, unaanza na bia au kiburudisho? Kazi kwenu kina mama/dada………..
  10. Maty

    Hii ni halali kweli je we ishawahi kukutokea?

    Yaliyojiri sikukuu ya idd B/F akamualika G/F aende kwake kumtembelea gf akaenda baada ya muda bf akaaga naenda mjini mara moja halafu akatoa mzigo akamwambia usitoke kuna rafiki yangu atafuata huu mzigo ni wa muhimu dada akasubiri subiri na wewe ikafika ucku saa mbili ikabidi aukague huo mzigo...
  11. Maty

    Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

    Jamani hapa JF watu tunakuja kupunguza stress, tumekerwa na wenzi wetu, tumekerwa na mabosi na mengine mengi. Kwa upande wangu huwa baada ya kero kama hizo naingia JF mara moja kupunguza hizo stress na nikitoka humu nimefarijika vya kutosha. Sasa kinachonishangaza utakuta watu wanaleta mastress...
  12. Maty

    Pamoja na yote kaka zangu

    Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi...
  13. Maty

    Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

    Nina rafiki yangu jana jioni aliniita na kuniomba ushauri sasa nimeshindwa hata cha kumshauri kwani sina uhakika, ndio maana nimeamua kulileta hapa kwenu mnisaidie mawazo. Huyu dada anadai kazini kwao alikutana na mkaka siku moja wakati wa lunch yaani ile kumuona tu akatokea kumpenda ghafla...
  14. Maty

    Infi muwashukuru sana

    Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?
  15. Maty

    Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

    Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji unalipa wewe, sasa uliniitia nini kama unaona huna hela. Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima...
  16. Maty

    Nani anasema wanaume ni adimu na wachache?

    Wadau kuna huu msemo kwamba wanaume ni wachache wanawake wengi. Huo sio ukweli kabisa wanaume wako wengi sana ila wale wenye vigezo na wanaofaa ndio wachache. Nakaribisha mashambulizi
  17. Maty

    Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

    Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter. Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi...
  18. Maty

    Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

    Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter. Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi...
Back
Top Bottom