Talk sense with quotes and statistics sio umeamua kubwata tu kwasababu huna cha kujadili. Kama huna cha kusema nyamaza angalia wenzako wanasema nini! Tupe data statistics mfano sensa ya 2002 wanawake TZ wapo asilimia 5 wanaume 95 n.k n.k sio unatoa maelezo yasiyokamilika alaaah Watu wengine bwana!!Wadau kuna huu msemo kwamba wanaume ni wachache wanawake wengi. Huo sio ukweli kabisa wanaume wako wengi sana ila wale wenye vigezo na wanaofaa ndio wachache. Nakaribisha mashambulizi
eeeeeeeh kweli wewe ni SOKOMOKO.Talk sense with quotes and statistics sio umeamua kubwata tu kwasababu huna cha kujadili. Kama huna cha kusema nyamaza angalia wenzako wanasema nini! Tupe data statistics mfano sensa ya 2002 wanawake TZ wapo asilimia 5 wanaume 95 n.k n.k sio unatoa maelezo yasiyokamilika alaaah Watu wengine bwana!!
Talk sense with quotes and statistics sio umeamua kubwata tu kwasababu huna cha kujadili. Kama huna cha kusema nyamaza angalia wenzako wanasema nini! Tupe data statistics mfano sensa ya 2002 wanawake TZ wapo asilimia 5 wanaume 95 n.k n.k sio unatoa maelezo yasiyokamilika alaaah Watu wengine bwana!!
wenye hela na wenye kutimiza mahitaji yote ya mwanamke ndio wachache, lakini hohe hae wamejaa kibao, ndio maana wanawake wengi wanagombea padeshee hawagombei shamba boy, sasa piga hesabu hapa mjini mapedeshee ni wangapi?
Mbona hata wanawake wenye vigezo ni adimu pia.....ila wenye kuongea kama vile wao ni malaika wamejaa kibao.
Wanaogopa kuzalishwa watoto wengi! Starehe ya maskini mkewe!
Hiyo ni kweli kabisa ila huu msemo wa kuwa wanawake ni wengi na wanaume wengi ndio unaonitatiza ingesemekana tu wanaume wenye vigezo ni wachache na wanawake pia. Lakini utakuta mtu ananza kusema ooh ili wanaume wawatoshe wanawake kila mwanaume lazima awe na wanawake watano hadi sita hilo sikubaliani nalo kwani hata mwanamke kama una ubavu unaweza ukawa nao hata hao watano au sita
watu mna maneno humu jamani....lol
wenye hela na wenye kutimiza mahitaji yote ya mwanamke ndio wachache, lakini hohe hae wamejaa kibao, ndio maana wanawake wengi wanagombea padeshee hawagombei shamba boy, sasa piga hesabu hapa mjini mapedeshee ni wangapi?
Hiyo ni kweli kabisa ila huu msemo wa kuwa wanawake ni wengi na wanaume wengi ndio unaonitatiza ingesemekana tu wanaume wenye vigezo ni wachache na wanawake pia. Lakini utakuta mtu ananza kusema ooh ili wanaume wawatoshe wanawake kila mwanaume lazima awe na wanawake watano hadi sita hilo sikubaliani nalo kwani hata mwanamke kama una ubavu unaweza ukawa nao hata hao watano au sita
Mbona kuna wanawake wengi tu wenye mabwana zaidi ya mmoja. Wewe mwenzangu kwani unaishi wapi? Tofauti tu ni kwamba wanawake huwaga hawafanyi kwa uwazi kama ilivyo wanaume. Lakini ubavu wa kuwa na wanaume wengi wanao sana na wanafanya sana. Huko maofisini ndio usiseme. Tunayoshuhudia ni mengi na ya kusikitisha sana.
Halafu jioni ikifika wanarudi kwa waume zao kama vile hakuna kibaya walichokifanya na ikifika jumapili (kwa wakristo) wanaenda kanisani kama kawa....
Na hii teknolojia ndio kabisaa imerahisisha mambo. Mtu unakuta ana simu zaidi ya moja, ana facebook, ana wayn.com, ana sijui twitter, hi-5, yupo JF na ana marafiki kibao anao chat nao na kutumiana PM, yuko kwenye yahoo messenger, yuko kwenye msn hotmail messenger.....hahahahaaaa...mweeeeee.....ukifikiria sana utadata bure
Yaani full usaniii kwa kwenda mbele...