Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maty, Aug 25, 2010.

 1. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter.
  Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi na ikiwezekana awe na mtoto mmoja tuishi pamoja na kulea watoto wetu kwa upendo na amani tele. Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia. waweza wasiliana na mimi kwa kupitia matyshirima@gmali.com Pls NOTE. Mwanaume suruali simtaki nahitaji mwenye kazi yake yakueleweka tuweze kusaidiana kimaisha.
   
 2. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana Dada!!! Mhhh Lakini hiyo haijatulia; Isije ikawa yale ya Kunguru afugiki?????? apia.
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...sifa zote ninazo isipokuwa hapo kwenye rangi.......utanisaidia vipi sasa?
   
 4. F

  Fukuto Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una ceiling ya umri na je kama utaulizwa vitu gani viwili vya kuvutia ulivyonavyo (au hata kimoja tu) ili mtu yeyote mwenye kutaka kukuoa aone anachelewa kufanya hivyo utajibu ni vitu gani hivyo?
   
 5. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usiumize kichwa na maswali ya wahanga wewe muhimu umetoa concact interested persons watakutafuta mtakaa mpnage na mpangue.
  ila tafadhali uwe makini na mwerevu kwa wepesi zaidi, more to come be attention.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  All the best maty
   
 7. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Nimekupata...na mimi ni mjane wa kiume..kwa miaka mitatu sasa...nimesha achana na wanawake watatu sababu kuu wameshindwa kunilelea watoto wangu watatu ambao bond yangu na yao ni strong kiasi kwamba ni ngumu kwa mtu yeyote kunishawishi vinginevyo kuhusu wao.....yaani nikihisi unawazushia au hamuelewani ,mimi na wewe ndio basi..ila kama kwa ishu yako kama tutafika pazuri ni muhimu kwanza kupima manake na wewe umeruka ruka sana.Watoto wawili ndio nakaa nao,wanasoma shule nzuri hawana tatizo..ila mmoja yupo shule nje ya nchi
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Jaribu bahati yako!
   
 9. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  All da besti!
   
 10. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ucjali kuhusu kupima. na kuhusu kuzunguka nikikwambia kuwa nilikuwa na baba wa mtoto tu sijawahi kuwa na mwingine huo utakuwa uongo mtakatifu. Kwani hata wewe umetaja hao watatu tu hatujui umepitia wengine wangapi inawezekana hata umenizidi kidogo. Ila hamna shida nitafute kwenye email yangu tulonge zaidi
   
 11. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  okay...point taken...
   
Loading...