Toka nianze kuingia JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka nianze kuingia JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maty, Dec 13, 2010.

 1. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
 3. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Basi na utulie maana ukichemka tu unakula ban 7 days kama hujui. 7 days usipime , ni kama 7 years so be careful .
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ubarikiwe sana Maty tupo pamoja

  Hivi nguo za X.mass umesha nunua au mbado?
   
 6. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  He jamani mfamaji kukosea mwaka tu nile ban ya siku 7 mbona nitaumwa
   
 7. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  asante sana maty,uwe na xmass ya baraka,na mwaka mpya wenye mafanikio.
   
 8. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mh sijui kama nitanunua mwezi umekaa vibaya huu my dia maana salary hii ya dec sikukuu inaungalia, ada za watoto hapo hapo mbona kazi mwe
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana Maty,

  Ndo maana nawapenda wajukuu zangu na naamini pia nanyi mnapendana. JF ni zaidi ya extended family!!
  Uwe na xmass njema na usijali pressure zitapungua. Hata ukikosa pesa wewe njoo JF tupige story..utaondoka unaenda kumaliza siku kitandani.

  Ubarikiwe sana mpendwa mjukuu mzuri Maty!
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Maty tunakupenda pia ............Heri ya siku kuu kwako na familia yako pia
   
 11. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uko sawa kabisa Maty

  Afya ya mwanadamu imegawanyika sehemu mbili
  1. Physical Health
  2. Psychological Health

  Category ya kwanza ikikorofisha sio ishu sana kwani hata akina karumanzila wanaweza kutatua matatizo ya afya hiyo

  Kazi ipo category ya pili ya afya ya mwanadamu, kwani ni wachache sana walio watabibu katika afya hii, na wakati mwingine tiba yake inaweza kuonekana ni kichekesho kwa watu wengine, amini nawambieni ukipata hitlafu hapa hata category 1 inaathirika, watu kama akina Abraham Maslow na wengine ndio walikuwa watalaamu wa afya hiyo

  Sasa basi Maty JF ni tabibu katika afya ya kisaikolojia ya mwanadamu, ukija hapa afya yako ya kisaikolojia inamshikeli unapona na kesho utakuja tena, yaani kama muonja asali vile

  Thanks JF, thanks Maty
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu angalia sana afya yako JF isije kukuletea magonjwa nyemelezi, unene husababisha magonjwa lukuki ya moyo! Great thinkers huyaita Non Communicable Diseases. Hahahahahah

  Happy X-mas buddy!
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  UMECHANGIA JF.......?? Maana kikuburudishacho lazima ukilipie
   
 14. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  halafu umeongea cha maana hivi nachangiaje maana mi kusoma vingine mvivu nishawahi sikia kuhusu hili na ningependa kufanya hivyo nifafanulie my dia
   
 15. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  sijanenepa kihivyo my dia ila nadhani as long as jf inaendelea kuwepo sitakonda bali nitakuwa najitahidi nisinenepe sana
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Maty bwana furaha zako hadi umevuka 2011 to 2012..kweli JF kuna raha yake, mi mwenyewe na farijika, kuelimika, kuburudika nk..
  Noeli njema mamii
   
 18. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Bora umeliona hilo mpenzi thanks
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,887
  Likes Received: 23,515
  Trophy Points: 280
  Mnampenda? We na nani?

  Babu hapendi mtu, japo anawatakieni xmass njema yenye amani, furaha na upendo!
   
 20. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,530
  Trophy Points: 280
  True story mkuu. JF the right to be whenever you are stressed up in this world of BLOOD SUCKING VAMPIRES!
   
Loading...