Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maty, Oct 21, 2010.

 1. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nina rafiki yangu jana jioni aliniita na kuniomba ushauri sasa nimeshindwa hata cha kumshauri kwani sina uhakika, ndio maana nimeamua kulileta hapa kwenu mnisaidie mawazo.

  Huyu dada anadai kazini kwao alikutana na mkaka siku moja wakati wa lunch yaani ile kumuona tu akatokea kumpenda ghafla mpaka akajishangaa kwani (hata mimi najua hilo) yy anapenda sana wanaume mahandisamu halafu weupe yaani akiwaona hao moyo wake huwa unashindwa kufanya kazi kabisa. Lakini akashangaa anampenda huyo kaka kwani si mbaya ila sio type ya wale anaozingukaga nao halafu ni black lakini akavutiwa nae sana ikabidi awe anaenda kula ile sehemu kila mara ili awe anamuona tu na akaniambia alikuwa hata anasali kuomba mungu huyo kaka itokee siku amtongoze na anatamani hata ikiwezekana awe mumewe lakini haikuwa hivyo ila huwa wanapeana hi ya juu juu wakikutana. Siku zikawa zinaenda tu mpaka ikakatika miezi sita. Wiki iliyopita yule mkaka akaanza kumzoea zoea taratibu wakikutana anamisimamisha anamuuliza hili na lile wakaanza kuzoeana taratibu ila si kiviile, sasa anasema juzi yule kaka akamuomba amtembelee ofisini kwake, yule dada akaenda wakapigapiga stori yule kaka akamwambia nilikuwa natamani kuzungumza na wewe toka siku nyingi ila ulikuwa uko serious sana mpka nikawa nakuogopa, hata kukwambia uje ofisini kwangu leo niliamua kujitosa tu nashukuru umekuja wakabidilishana mawazo baadae yule kaka akamsindikiza yule mdada mpaka maeneo ya kwao na wamepanga wakutane jmosi. Sasa akawa ananiuliza hivi inawezekana wakawa wanapendana kiukweli cause kwa maelezo yake inaonyesha yule dada alikuwa anamzimikia mshikaji na mshkaji alikuwa anamzimia demu ila kila mtu alikuwa anashindwa kumwambia mwenzie ila anasema kilichomshtua jamaa kamwambia hiyo jmosi wakutane kwake (kwa jamaa) ndio akaja kuniuliza je aende isije kuwa mshkaji anataka tu kummega na yeye hata kama anampenda hayuko tayari kumegana nae halafu yaishe yaani kama hana msimamo ni bora yaishe. So naombeni mauzoefu yenu wandugu labda kuna wengine ilishawahi kuwatokea hii na ikawaje

  nategemea ushauri mzuri wapendwa na si madongo
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,427
  Trophy Points: 280
  ayaaaaaaaaaaaaaaaaa
  kumbe yule ndio rafiki yako? Lol!
   
 3. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Umeshaanza kwani nyani we ndio huyo mshkaji? basi shost wangu kaingia mkenge
   
 4. T

  The King JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana si mkenge, mwache avute subira kwanza aangalie upepo unapuliza kuelekea kipande ipi
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh maty bwna..the whole theme here z ..JE AKIENDA J1 JAMAA AKIGONGEA GAME BMKUBWA AMPE MZIGO AU ASIMPE ?KWA SABABU ATAKI KUCHEZEWA?
  ni ivi b shost ;j1 aende tena ikwezekana aende mapema tu mida ya saa tano ivi ata kupika apike ..asi washazoeana siyo?aulize jiko liko wap azame panapo jiko afanye mambo wakishba dada mida ya saa 9 kumi ivi waanze kulonga...akiona jamaa anataka game ASIMPE... amwambie ukweli that ur husband material to me n by doin so u wl polute my OL PICTURE TOWARDS U...km vp nipe tym nkuchek nkupe tyme unicheki kama ukiona nakufaa poa na mimi nikiona unanifaa poa TUTAFANYA UNACHOTAKA TUFANYE..shost mwambie askubali kumegwa kijnga jinga ivyo ata km ni handasam km yusufu aliyemdatisha mke wa potifa...uhandsam is ntothng ma dear gal ..uahnd samu wake utakusaidia nini?kuweka kwenye screen seva?ahh jaman skuizi watu wanaangalia vigezzo vngne km iv apa ayo mambo ya handasm sjui baunsa sjui toll ni ya kitoto enz zileeee form 2 b au form six hkl bt now gals focusing on;
  1.is he good upstairs?(usije ukazaaa watoto vilaza...natania)
  2.is he protector (not financially bt at least awe na sense ya kukuprotect kwa lolote iwe kwa idea au kwa vitendo money is less concern here)
  3.ana utu?
  4.anakuappreciate ?anakufanyua ujiskie u mwanamke?mwanamke mwenye furaha?
  5.anakufanya rafiki yake kwa kukushirikisha in each n evethng?
  6is he director?councellor? that ukipata tatizo unajua kabisa nkienda kwake atanisaidia kunionyesha njia?atanifariji?
  7.GAME LIPO KG MOJA AU ROBO KILO? inakesha au ngoma ya kitoto mwsho sa 12?
  8.MALI SI KIGEZO MWAWEZA TAFUTA WOTE PAMOJA tena kwa raha zenu na utakuwa na amani moyoni cz utafili sense ya owneshp kinyume na unaolewa na kaka yupo full we wafanya kwenda na vinguo vyako tu kwake yan ata ukivunja kikombe utajishtukia cz haukuchangia kununua
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  AASIDANGANYIKE KWA UHAND SAM
  kwa utafit mdg nilionao ni kwamba mahand sam boy weng wana matatizo thy nt rensposbo at ol wanajua ukimwacha poa tu mademu kibao asi wanampenda sasa shost atakuwa yupo tayar kuwa katika mapenz ya utumwa that umtumikie yeye tu wewe raha nehi amani nehi?
  wana dharau na wana msemo mmoja ivi ..m magnetic boy so...anaweza akapull galz as much as he wants..dada ebu achana na sifa i ya NI HAND SAM UYO...?AHH UTALIA NAKWAMBIA NA MWSHO WA SIKU UTAJUTA UTATAMANI ATA UNGEMKUBALI REMMY ONGALA AU MASUD MASUD!!!!
  uhand sam ni uko kwao yeye na mamake that nimezaa mtoto wa kiume hand sam kweli kweli..wewe inakuhusu nin?chek kidume km kipo rensponsble kwa sphere zote za utu then pick him uhandsam kwan utaenda kumuuza uyo upate ela au utampeleka kwenye mashndano ya mahandsam boy?
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ngoja nikazie hapo: Je ni rijali?
   
 8. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naona huyu hajawaelewa wanaume. Tunayo instinct flani, mtu akijigonga head-on huwa tunahisi hata kama hajasema. Sasa inaweza kutokea mdada kajigonga kihivyo lakini mi sijamfeel kiviiiiile, kinachofuata ni opportunism. Namfungulia mlango akiingia namega hadi hapo atakapogundua kuwa feelings hazikuwa za kiviiiiile, akiamua kuchapa mwendo poa, hatugombani.
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii Mtu B, imetulia kinoma
   
 10. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  hapo umenena Rose
   
 11. Kaka umehit the spot!!! Ur daaamn right!!!
   
 12. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Rose kama umemsema handsam wangu vile:dance::biggrin1:...........................
   
 13. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kwanza umenchekesha sana yaani rose una vituko sana. Mwaya nimeupata ushauri wako na nitaenda kumpa hiz mbinu
   
 14. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni kweli usemayo kaka ila huyo dada alikuwa anampenda kimya kimya hajawahi kumuonyesha hata sku 1 na yuko serious sana kiukweli kiasi kwamba hata mamen wa hapo kazn kwao wanasema anaringa
   
 15. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  shost mwambie askubali kumegwa kijnga jinga ivyo ata km ni handasam km yusufu aliyemdatisha mke wa potifa...uhandsam is ntothng ma dear gal ..uahnd samu wake utakusaidia nini?kuweka kwenye screen seva?ahh jaman skuizi watu wanaangalia vigezzo vngne km iv apa ayo mambo ya handasm sjui baunsa sjui toll ni ya kitoto enz zileeee form 2 b au form six hkl bt now gals focusing on;
  1.is he good upstairs?(usije ukazaaa watoto vilaza...natania)
  2.is he protector (not financially bt at least awe na sense ya kukuprotect kwa lolote iwe kwa idea au kwa vitendo money is less concern here)
  3.ana utu?
  4.anakuappreciate ?anakufanyua ujiskie u mwanamke?mwanamke mwenye furaha?
  5.anakufanya rafiki yake kwa kukushirikisha in each n evethng?
  6is he director?councellor? that ukipata tatizo unajua kabisa nkienda kwake atanisaidia kunionyesha njia?atanifariji?
  7.GAME LIPO KG MOJA AU ROBO KILO? inakesha au ngoma ya kitoto mwsho sa 12?
  8.MALI SI KIGEZO MWAWEZA TAFUTA WOTE PAMOJA tena kwa raha zenu na utakuwa na amani moyoni cz utafili sense ya owneshp kinyume na unaolewa na kaka yupo full we wafanya kwenda na vinguo vyako tu kwake yan ata ukivunja kikombe utajishtukia cz haukuchangia kununua[/QUOTE]

  Yaani huyo kaka sio handsam na wala si mbaya ila kwenye mahandisamu hayumo. Na huyo rafiki yangu huwa anapenda sana mahandisam ndio ata akawa anajishangaa imekuwaje amempenda huyo
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  labda damu zao zimeshabiihana ..ngoja nipate supu huku natafakari juu ya hili
   
 17. dazenp

  dazenp Senior Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thats absolutely true Mtu B........na we work with opportunistic ideas all the time....but to be sincere subiri kwanza msome the guy learn to play hard to get....
   
 18. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wanawake siku zote si mpo hivyo wajameni, na mara nyingi kimya kingi kina mshindo!
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kampe tu tena umwambie vizuri
  uenda jamaa nae alikuwa ashamsoma bidada so ni swala la danadana mbili tatu kitu ikishagota nyavu ataanza visa na dada atabakia na majonz
  kuna dalili nying sana za kumegwa na kuachwa!!!!!
  awe mwangalifu asilewe na uhandsam utamgharimu!!!!!!
   
 20. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hivi unawezaje kujua kama mwanaume ni rijali au sio kwa macho? nijuzeni hapo
   
Loading...