Wababa/kaka hivi ni kweli

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
725
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo

Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.

Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.

Duh! mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.

Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee
 
aaaiiiiiiiiiiii wakazi gani????? hawezi kazi hawezi kwanini akuchafueee weee!!!!! huyo mdada Khaaaaa!!
 
Huyu jamaa zubri yake presha itakuwa ilikuwa imeshuka chini lol halafu yaani unanitishia mimi ishu ya chuchumbu utatoka huko unakimbia umeshika nguo zako mkononi au kama sio hivyo utakimbilia chooni kujifungia
 
Ha ha ha, maty wewee dooohhh!
Ama kweli maishani tunapitia mengi.
Msiniulize.

Mbu nakuuliza bana hivi nikakujia na mkwara kama huo nitakumaliza makali ghafla ee lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaaaaaaaa Maty huwezi amini nimepata picha ya dada alivojinyoosha halafu jongoo wa huyo kaka ulivolegea..........................!mh ngoja niwahi watoto nisije nikawakosea adabu watu humu.
 
Lol! hiyo kali, Huyo jamaa naye alikwa mchovu, alimalizwa konfidensi yake na mikwara. Hala pia hayo mambo yanahitaji maandalizi sio haya njoo uweke basi! limekuwa shimo la taka!!
 
Huyu jamaa zubri yake presha itakuwa ilikuwa imeshuka chini lol halafu yaani unanitishia mimi ishu ya chuchumbu utatoka huko unakimbia umeshika nguo zako mkononi au kama sio hivyo utakimbilia chooni kujifungia

We nawe mbona hivyo? mwenzio nilitaka kucopy na kupest huu ufundi kumbe kuna wengine hamtishiki hata kwa nini lol, hakyanani
 
Hihihihih...akome!itakuwa hajaamini mpaka sasa kapewa live kitu kikamuangusha maskini
 
Mkaka wa watu yuko vizuri tu sa sijui ule mkwara ulimdhoofisha, kaaazi kweli kweli

aaaaiiiiiiiiiiii!!! makakaa ganii huyoo?? aogopa hali mdada kajianika na vifaaa vyooooteeee njeee aaaiiiiii!!!!! hawezi tu kaziiiii au mdadaaa auziii akichojoaaa!!!!!! sijashawishika!!!
 
Yaani wakati ananihadithia nilicheka mpaka basi, bora ningesikia kwa mwingine amenipa stori yeye mwenyewe maana alikuja mnyonge haifai na kuanza kuniambia best mbona jana nimekutana na makubwa mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom