Uionapo hii tafadhali fungua mpendwa unahitajika msaada wa haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uionapo hii tafadhali fungua mpendwa unahitajika msaada wa haraka

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Maty, Mar 8, 2011.

 1. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hivi wapenzi, mtu unakua na mpenzi wa toka enzi hizo mko vijana anaondoka anaenda kusoma anarudi mnaanza tena mahusiano anakwambia anataka mzae unamwambia subiri kidogo nimalizie mambo Fulani, anasema poa hazipiti siku unamkuta na demu anakwambia huyu tulikutana tu sio mtu wangu kivile unavumilia, zinapita siku unaambiwa yule dada ni mjamzito unaumia lakini unachukulia poa si unampenda mkaka? Dada anajifungua mtoto wa kiume ndugu zake waliokua karibu na wewe wote wanahamia kwa yule dada wewe unabaki kung’ang’aa macho maisha yanaendelea, huyo mkaka akikufuata siku moja moja anakubembembeleza oh yule alijibebesha mimba na mimi siwezi kuacha mtoto wangu ateseke unakubali akishapata anachotaka humsikii mpaka akiwa na hamu na wewe.

  Inapita kipindi huyo mzazi mwenzie anaanza kuonyesha her true colour watu wote wanachoka na kutoamini ni huyu kweli si ndugu si baba mtoto Mwenyewe, wanaendelea kuvumilia wakijua kapitiwa kumbe sivyo hivyo ndivyo alivyo siku zote alikua ana pretend tu ndugu wanaanza oh kaka bora yule Fulani huyu balaa kabisa, huku wewe tayari ulishaanza kumtoa akilini kidogo kidogo si mnajua wapendwa kumtoa akilini uliempenda kwa dhati ni ishu ndio anakuja mazima nisamehe mpenzi, sweet, honey, darling, sweet ukwaju, supaleta, fanta orange na mengine kibao nilipotea nikaingia pabaya lakini kuanzia leo nimekoma nitakua na wewe tu mpenzi anaongea na machozi yanamlenga akijutia yote aliyokufanyia ikumbukwe kuwa wewe umeshaanza kumtoa moyoni mwako. Swali linakuja kwenu great thinkers Je huyu mtu anafaa kupewa nafasi nyingine atakua amejirekebisha kweli au akipewa anaweza rudia yale yale nafikiri kati wote msomao hapa kuna mtu ashakumbwa na hii hali alifanyaje fanyaje?

  Poleni kwa maandishi mengi kama ukiweza yasoma yote itakua vizuri tunaomba maoni yako mpendwa
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Maty nitarudi ndefu mno. Hebu weka weka hata viparagraph vinapunga aiiii nisamehe
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Maty Shost mie siwezi kula matapishi ,kama kaniona wa nini namie nitamuona wa kazi gani
  No thank you ,sina haja ya kumfikilia mara mbili mbili
  Jibu ni Nooooooooooooooooooooooooooooo.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Maty... huyo hafai hata kwa service

  he doesnt deserve you, usijishushe that much, anakuchezea tu
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Maty nimekupata na nimekuelewa, lakini sasa kuna kitu mi nafikiriaga, wanaume hawajui wanachokitaka. Unampenda huyu unarukia kule unarudi huku sijui kwa nini? Lakini hapo ni moyo wa mtu mwenyewe utapima ukiridhia kumkubali basi amkubali tu!!!
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dena acha uvivu my dia!! umeamkaje lakini??

  Maty, kumrudia nisawa na kuoga then ukabadili nguo zote ila ukavaa chu** ile ile uliyoshindia kutwa nzima!! kwangu mie angeeishia kuoga tu ila mjini asingeingia!!

  habari ndio hiyo
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Kwamba usham-welcome back mara tatu?
  Kwamba unataka, sitaki?
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Maty nimerudi kwa heshima nakusoma kwa makini na kuelewa.

  Haya Baby come back ndo inapoapply hapo. Bwana samehe saba mara sabini dear huyu atakuwa mnyenyekevu kwa sasa sababu kashaumwa na nyoka tayari.

  Cha msingi hapo ni kuanzia ANGAZA na maisha yaendelee japokuwa ni ngumu lakini bana usihangaike sana maisha yenyewe ni so siku hizi
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Baby come back tayari mama nimesoma
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hii thredi imefikaje huku kunako chitchat.....mods hapa hamjafanya sawa!
   
 11. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hahahaa soma bana acha uvivu stori nyingine haziwezekani kuwa fupi sema tu nimekosea sijaweka paragraph za kutosha
   
 12. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Thanks broda hii kitu nitaprint ushauri wenu wote na kuupeleka maana hiyo kitu haielewi, nikisema mimi nitaonekana naona wivu
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Binafsi nisingeweza kumrudia ila ningemsamehe na aendelee na mambo yake.
   
 14. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Dena ushauri wako ni mzuri sana mama, huyu mtu asharudiwa zaidi ya hiyo mara sabini lakini kila siku ni visa tu, yaani alikua na dharau sana sema tu dada wa watu alimpenda na alikua haoni sijui kwa sababu huyo jamaa ni handsome mimi hata sielewi na alikua kila akimkosea anamkamubakisha jamaa akishapata atakacho anasepa, hapo kuja kusikika baada ya mwezi au miezi miwili anamtafuta tena dada anakubali akimaliza shida zake anasepa sasa ndio anajifanya amerudi mazima kweli huyu ni wa kusamehe?
   
 15. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Na yeye alifanya hivyo hivyo akamsamehe na kuendelea na mambo yake lakini leo ni siku ya tatu anamsumbua kwa msg na simu mpaka kero akibembeleza kuwa hatorudia tena maana anakosa hata cha kumjibu kesha mjibu maneno yote ila haelewi.
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Yaani mimi ndio nachokaga kabisa wanaume hawatabiriki hata kidogo sijui wameumbwaje yarabi
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mimi namsamehe na kumshukuru kwa mafunzo aliyonipa.....nachapa mwendo....fikiria mtu ameenda kusoma umemsubiri kwa upendo,si kwamba wengine walikuwa hawakuoni ila kwa kuwa unampenda.....amerudi anataka mtoto,akaombwa asubiri kidogo then akaenda zaa na mwingine.......HAPANA......let him go,hilo somo alilopata litamsaidia mwingine....start afresh.....!!!
   
 18. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Thanks michele nafikiri hicho ndio anatakiwa kufanya
   
 19. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Maty (Matilida!),

  Remember Mke wa Lutu? Aligeuka nyuma!

  "... As they make their (Lot and his family) escape, the angels command Lot and his family not to look back under any circumstance.... Lot's wife looks back at the city in defiance of the angels' specific command, and she becomes a pillar of salt"

  Unaweza kumuona hapo kwenye hii picha-ya-kuchorwa!


  [​IMG]

  Source : Wikipedia
   
 20. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ndioooooo samehe mara 70. umesahau ...........haijalishi bana
   
Loading...