Search results

  1. Mtu_Mzima

    King'amuzi cha Azam vipi tena?

    Inakaribia sasa wiki sasa bila taarifa kwa wateja channel za Upendo na Joy Tv zimeondolewa king'amuzi cha Azam. Hii imetokana na nini? Anayejua atujuze tafadhali maana hiyo ilikuwa sababu mojawapo ya kununua king'amuzi hicho. Kama vipi tujue la kufanya.
  2. Mtu_Mzima

    Ni mamlaka ipi ina amri na dereva na leseni yake?

    Ukifuatilia mkanganyiko uliopo sasa kwenye fani ya udereva haswa mafunzo na usimamizi wa leseni unabaki unajiuliza maswali mengi sana. Mfano. 1. Kwa sasa mamlaka inayotoa leseni ( issuing authority) ni Tanzania Revenue Authority- TRA. Lakini anayependekeza madaraja ni Polisi ( vehicles...
  3. Mtu_Mzima

    Siasa za Watanzania Wataweza bila matusi, kejeli?

    Sio wengi wametafakari maana ya muafaka uliofikiwa na huu msemo wa "siasa za kistaarabu" kama wanavyounadi viongozi wakuu wa vyama vya siasa. Kwa upande wa CCM nawaona haswa wabunge, madiwani na makada wao (haswa UVCCM na UWT) wakipata taabu kwani wamezoea siasa za kejeli, kununua wapinzani nk...
  4. Mtu_Mzima

    Wizara ya Elimu na TAMISEMI. Amkeni. Anzeni sasa.

    Kwa jinsi mambo yalivyoanza, mianya ya uharibifu ni mingi sana. Hebu twende pamoja. 1. DAY CARE CENTRES. Hivi kweli kuna muongozo wowote wa uanzishwaji wake, ukaguzi wa hayo majengo kuona kama ni salama kwa mtoto? Waalimu wake wanajulikana elimu zao? Maadili je? Hivi kesho pakitokea vitendo vya...
  5. Mtu_Mzima

    Ajali za barabarani, ukweli huu unapuuzwa?

    Kujadili hoja yangu nitajikita kwenye maeneo haya: 1. Mafunzo ya udereva Hivi kweli tunaweza kusema kuna mafunzo ya udereva hapa chini? Je, tuna mtaala (sylubus) ya mafunzo ya awali ya udereva? Je, tuna mafunzo ya waalimu wa shule za udereva? Nani anaangalia umahiri wao? Wanafunzi wanakaa muda...
  6. Mtu_Mzima

    Bajeti ya serikali 2023/24. Yatakuwa maumivu au unafuu?

    Imekuwa sasa ni kama kawaida nchi zetu kila kiongozi anapoingia madakani kuunda serikali ya ukubwa anaoutaka na kila mwaka kuongeza bajeti anavyotaka kwa kisingizio cha kuhudumia wananchi. 1. Hivi haiwekekani kuwepo na ukubwa wa serikali ( idadi ya wizara) kikatiba? 2. Idadi ya watumishi ( japo...
  7. Mtu_Mzima

    Corona Virus: tuchukue tahadhazi hizi

    Nimelifuatilia gonjwa hili, dalili na nini kifanyike. Kwa upande wa tahadhari hapo naona serikali, taasisi zake, mashirika binafsi na watu kwa ujumla hawajafanya vya kutosha. Hebu tuangalie maisha yetu ya kawaida yalivyo hatarini. 1. MAOFISINI. Mtu ungetegemea uone tahadhari za kueleweka haswa...
  8. Mtu_Mzima

    Jamani hizi charges za mtandao wa voda vipi?

    Salam wana JF Nimekuwa nikiugulia maumivu ya makato ya mtandao wa voda ambayo yanepanda kimya kimya na sijui kama ni kwa bsraka za tume ya maeasiliano au tunalipia zile faini walizotozwa. Mfano KUTOA. KIASI GHARAMA 400,000 ..7,000 250,000 ..5,300 800,000 ..8,000 600,000 ..8,000 1,000,000 ..8,000...
  9. Mtu_Mzima

    HILI LA "MADE IN TANZANIA" LIMEKAAJE?

    Katika mkakati mzuri wa sera ya viwanda ya awamu ya tano lipo jambo ambalo naliona muhimu lakini halipewi umuhimu unaostahili. Nchi inaweza kuzalisha na kuuza bidhaa zake sehemu nyingi duniani ila hazitambuliki kwa kukosa utambulisho. Wafanyabiashara wengi wa nchi jirani wananunua bidhaa...
  10. Mtu_Mzima

    Mbunge wako amechangia hoja mara ngapi Bungeni?

    Ninaliona tatizo kubwa la kimawasiliano kati ya mbunge jimboni na mbunge bungeni. 1. Hebu jiulize, mmbunge wako wmamewahi kufanya mikutano mingapi jimboni kusikiliza kero za wananchi? Na je, aliziwakilisha kunakohusika na kuleta mrejesho? 2. Mbunge wako amechangia hoja mara ngapi bungeni...
  11. Mtu_Mzima

    Uharibifu wa mali za Serikali ni mkubwa mno

    Nimepata bahati ya kutembelea ofisi mbalimbali za serikali kwa shughuli mbalimbali na pia maeneo ambapo serikali inapata huduma. Cha kushangaza sana ni kiwango cha uharibu wa mali za umma na zinaachwa kuoza bila matengenezo au kuuzwa kabla hazijaharibika zaidi. MAGARI. Pita karakana za...
  12. Mtu_Mzima

    Masculine responses

    French President Emmanuel Macron said: *"With a family that has seven, eight children in Africa, even if you invest billions, nothing will change, because the challenge of Africa is civilizational".* The Guinean sociologist Amadou Douno, a professor at the Ahmadou-Dieng University of Conakry...
  13. Mtu_Mzima

    School management software

    Amani kwenu Natafuta supplier wa simple school management software yenye user friendly manus kwa bei poa sana. Sitaki dalali Mwenye nayo anitext whatup 0755556600 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mtu_Mzima

    Natafta pikipiki ya HONDA 110

    Amani kwa wote. Natafuta kununua pikipiki used ya honda 110 kawaida au ikiwezekana ile yenye special gear. Dar au moshi/Arusha. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mtu_Mzima

    Hili la tiketi za kielektroni za mabasi ya mikoani

    Nawapongeza waliobuni miundombinu hii na kwa wale walioufuatilia, nimeleta uzi huu tuwashauri SUMATRA na TRA kwa ajili ya kuuboresha zaidi. Ushauri wangu baada ya kuusikiliza kwenye TV; 1. Mfumo uwe shirikishi - wenye mabasi/mameneja walioidhinishwa waweze kuingia na kuhuisha taarifa muhimu...
  16. Mtu_Mzima

    Kauli ya waziri wa viwanda: damira na matendo ya serikali vinakinzana

    Nalisalim jukwaa la JF, Ukisikiliza hotuba na kauli mbalimbali za Rais wetu JPM zinaonyesha wazi kuwa dhamira yake ni njema na ni kuwasaidia watanzania wanyonge ili waondokane na umaskini walio nao. Lakini kinachonisononesha pia ni kauli mbalimbali za viongozi waandamizi wa serikali wanazotoa na...
  17. Mtu_Mzima

    Unashangaa la UDOM, njoo huku unakozaliswa wahitimu hewa!

    Salam Zangu kwa WanaJamvi Wote, Nimefuatilia mjadala wa Wanafunzi wa UDOM na maelezo kuwa hawakuwa na sifa wengine. Sasa hapa nina chuo Kikuu Kimeshamwaga degree mtaani na hakina Mwalimu (kusema Profesa), hakina muundo wa uongozi (kusema structure, vikao, systems) na kinatoa degree 2 tu...
  18. Mtu_Mzima

    Accounting package needed urgently

    Ninahitaji simple Accounting package inayoweza kunifanyia mambo kama: Cash books (Bank na Petty Cash), General ledger, Payroll, Contracts Management ( Budgets by projects, sites, payment certificates, Stocks/materials etc) Tax returns(Tanzania Tax Laws) etc Seller awe tayari kukaa na sisi...
  19. Mtu_Mzima

    Natafuta Gari la kununua

    Natafuta gari la kununua (Dar) Engine isizidi cc 2,000, Liwe kwenye hali nzuri, Makes ninazopendelea ni Toyota, Suzuki, Budget yangu ni 4m Sipendelei saloon cars. Nipe offer yako na picha ukitaja specs zake kwenye pm.
Back
Top Bottom