Mtu_Mzima
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 1,164
- 1,133
Salam Zangu kwa WanaJamvi Wote,
Nimefuatilia mjadala wa Wanafunzi wa UDOM na maelezo kuwa hawakuwa na sifa wengine.
Sasa hapa nina chuo Kikuu Kimeshamwaga degree mtaani na hakina Mwalimu (kusema Profesa), hakina muundo wa uongozi (kusema structure, vikao, systems) na kinatoa degree 2 tu. Bussiness Adminitration na Computer Engineering & technology. Hakina majengo.
Ninavyoandika uzi huu kina wanfunzi 100 wanakamata kitabu ile mbaya !!!
Swali langu kwa wahusika, Unaanzisha chuo na kufundisha ndio usajili au unasaji ndio uanze masomo?
Hivi hawa TCU wamejirishisha vipi na kuruhusu waanze kazi bila hata kuona orodha ya wahadhiri wa kudumu na kuwasilishisha orodha/muundo wa uongozi ?
Hebu tembelea United African University of Tanzania (UAUT)
Hii ni website kweli ya chuo kikuu cha Computer Engineering & technology ?