Search results

  1. kibhopile

    MISINGI ITAYOKUWEZESHA KUJENGA MAHUSIANO YAKO YA NDOA YAKAFIKA KIWANGO CHA JUU CHA FURAHA PENGINE YAWEZA IKAWA SIYO MISINGI YA KUIMARISHA NA KUENDELEZ

    Jioni leo nikiwa Napata kahawa katika mgahawa mmoja nikisubiri usafiri wa kurudi nyumbani anaingia Madam mmoja middle aged na kuketi pembeni yangu. Alisogea karibu yangu akatabasamu kwa kuwa nilikuwa na kitabu cha `his needs her needs`. She said she is divorced na anaanza kwa kusema `what it...
  2. kibhopile

    There are no regrets in life. Just lessons. - Jennifer Aniston

    Habari ya Asubuhi, kama umeamka vyema na pia umemka katika hali isiyo njema usihofu it`s just a new day with the new lots of possibilities. Katika Maisha Hakuna majuto bali ni mafunzo tu ya kutuimarisha tuwe bora kabisa. Naomba uusimamishe huo mwili with a positive thinking ya Kuwa kama umeiweza...
  3. kibhopile

    English is very easy!

    For those who think English is hard, no way its very easy language just flow with this post i gave out few example of well understood sentences and phrases. 1) The bandage was wound around the wound. 2) The farm was used to produce produce. 3) The dump was so full that it had to refuse more...
  4. kibhopile

    Msaada serial keys za spss 16.

    MKO POA WAKUU? Samahani ninahitaji kuinstall spss 16 kwenye mac yangu. spss nimeidownload torrent na imekuja na keygen lakini keygen hiyo inafanya kwa Windows tu. so i need keys kama kuna yeyote ako nazo.
  5. kibhopile

    Attention!!

    Rafiki yangu alikuwa amengozana na mke wake wakati anapiga hii picha. Ilikuwa ghafla tu akaachia mkono aliokuwa amemshika mke wake ili tu awahi kuipiga hii picha.mke wake kamchunia hataki kusemezana nae. jamaa kamwambia 'Hivi umeshawahi ona mbwa akiendesha gari" ha ha ha ha, mwana jf we umeona?
  6. kibhopile

    Msaada.Mcbook pro.

    Wadau habari zenu. Nahitaji mcbook pro yenye retina eye nchi 15, HDD iwe kuanzia 250GB RAM ianzie 2GBna kuendelea mwenye anyone interested aniPM na price,ili tuelewane.
  7. kibhopile

    Makandarasi wa Bara bara.

    Habari zenu. Nina maswali machache yananitatiza kuhusu bumps katika barabara nahisi majibu ya wataalamu yatasaidia. 1. Je katika mafunzo yenu ya ukandarasi huko vyuoni huwa mnafundishwa kuhusu bumps?? mfano An introduction to road bumps etc.. au ni ujuzi binafsi? 2.Kama mnafundishwa kuhusu...
  8. kibhopile

    Before hitting traffic.

    Kwa wale watumishi waadilifu wenzangu, naona bado kama dakika 15 kufunga duka a.k.a kutoka ofisini na kuvizia kama lift za STK au DFP kama bosi anaelekea upande unaoenda. basi wakati ukisubiria hayo chukua thoughts hizi. 1.If time doesn't wait for you, don't worry! Just remove the battery from...
  9. kibhopile

    Dokta please usicheke!

    Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,, Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini, Daktari : Hebu vua nguo tuone, Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke. Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa. jamaa akavua suruali kuonesha...
  10. kibhopile

    Hizi ndo Siasa za Majitaka

    Anachoongea ndicho hicho hapooooo,,,:bange::deadhorse:
  11. kibhopile

    Maisha club yafunguliwa rasmi mtwara.

    Jana tarehe 22/03/12 nimeshuhudia ufunguzi wa Club Maisha Mtwara, ilikuwa mida ya saa 10:15. Shampeni na mafataki yalipigwa kiaina. Club iko bora kwa kubata pande zote VIP ama kajambanani kote kuko mzuka. Maspotlight yanaeleweka, dancing floor ft 12x12, kaunta za kutosha, staffs wa ukweeh ingawa...
  12. kibhopile

    HELP : I have the excessive Blood.

    I took a test on full blood picture, and the results diagnosed me with too much blood of about 165. well the doctor said for a normal black men the highest is 150. and also there is an elevator on my WBC also it means I also have too much white blood cells. They say if I give out blood, there...
  13. kibhopile

    Anajisikia vibaya kama furaha yangu isiposababishwa na yeye

    Asalaam Aleykum! Hope mu wazima ndugu zangu. Naomba tushirikine kwa hili. hivi ninapokuwa na furaha yani nacheka cheka siku nzima basi mchumba wangu anakuwa yupo suspicious na anaweza anihoji kwamba mbona Leo uko so happy eeeh? Mara kibao ananambia anataka kutoka na rafiki zake yani only girls...
  14. kibhopile

    msaada NOKIA X3-00

    Habari,,,, Jamani naomba msaada wenu simu yangu ya nokia x3 inanikatalia security code niliyokuwa natumia kipindi chote yaani kila nikiingiza inaniambia code error. Nimejaribu kutoa betri then nimeirudishia still bado inagoma.naombeni mawazo yenu..
  15. kibhopile

    Fungus zinazobandua ngozi ya chini ya mguu.

    Habari wanajamvi! Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba mchango wenu wa mawazo. Hali hii inanikera sana coz sioni raha ya kuvaa sandals.
  16. kibhopile

    Naomba ufafanuzi kuhusu Dental implant

    Habari zenu, Jamani mimi ninaomba Msaada, kuna kitu kinaitwa dental implant hii ni Nasikia ni permanent solution ya teeth lost yaani ni zaidi ya dentures. so nauliza kwa hapa bongo ni hospitali zipi zinatoa huduma hiyo na cost yake inarange vipi. Thanks.
  17. kibhopile

    keys wajameni.

    wadau habari zenu, poleni na mihangaiko. hii thread ipo hapa kuomba kama kuna mdau yeyote mwenye registration keys za IDM yani Internet download manager, i've found this program so helpful to me for like a month now, so trial version is over bt i still need, vile vile kama kuna mdau yeyote...
  18. kibhopile

    Elections 2010 Napiga kura kwa mara ya kwanza mwaka huu.

    habari wana JF. 31th oct, napiga kura yangu kwa mara ya kwanza na nahisi nawakilisha walio wengi tuu. sasa nawaomba wale wadau ambao walishapiga kura hapo awali kunithibitishia kama kweli kura huibwa au lah, coz hii kitu bana inachanganya sana. pls naomba unieleze hata kama ni ki-IT bt kwa...
  19. kibhopile

    Top 10. Ways to get rejected.(men)

    Its kinda long but knowledgeable...... No.10 - Forget how to be a man When it comes down to it, most men just don't misunderstand women, they don't understand men either. Most guys have no clue how to get in touch with their male nature to behave in ways that trigger attraction in women...
  20. kibhopile

    msaada wako unahitajika.

    wadau nisaidieni kwa hili, ofisi yangu ilikuwa na vumbi jingi, so nilimpisha mtu wa usafi ili asafishe, but baada ya kurudi nikakuta vumbii lote limejaa kwenye lap top yangu.nikaamua kufuta kwa phomeclene, kwa nje na kwenye keyboard, sasa baada ya kuwasha naona keyboard hairespond kabisa, pls...
Back
Top Bottom