Fungus zinazobandua ngozi ya chini ya mguu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fungus zinazobandua ngozi ya chini ya mguu.

Discussion in 'JF Doctor' started by kibhopile, Mar 4, 2011.

 1. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Habari wanajamvi!
  Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba mchango wenu wa mawazo. Hali hii inanikera sana coz sioni raha ya kuvaa sandals.
   
 2. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tumia unga wa mdalasini kijiko cha chai 2, changanya na asali kijiko 1. paka jioni kabla ya kulala , kaa nayo kwa 30mnts, then unawe/uitoe, fanya ivyo mfululizo kwa 2wks, matokeo utayaona.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pole sana, paka pili pili!
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pole, kwanza usivae viatu muda mrefu, vaa kwenye special ocatiƶn. Tumia clotrimazole cream asubuhi na jion baada ya kuoga kwa siku 7. Wakati wa kuvaa viatu pia tumia poda ili kuabsorb jasho ya miguu.
   
 5. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Aisee hii ni bonge la dawa!.. nilikaa na faungasi za miguuni kwa muda wa miaka minane!, kila nikijaribu dawa, inapona kidogo halafu inarudi tena, au inapungua lakini haiishi, mpaka nikaanza kuogopa labda kansa ya vidole imeninyemelea, siku moja nikaona dawa hiyo uliyoisema kwenye mtandao, nikaanza kuitumia, ebwanae! gungus ziliyeyuka kama barafu!.... namshauri mgonjwa aitumia hiyo!.
   
 6. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  !!!!!!!!!!
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Duh pole sana kwahiyo ukialikwa sehemu ya kuvua viatu mambo yanakuwaje eg majamvi ya ubwabwa wa hitima na nk
   
 8. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Asante ikunda.
   
 9. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Thanks
   
 10. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Much respect
   
 11. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Nakuwa ndani ya kanzu moja ndefu sana
   
Loading...