Attention!!

Attention!!

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
1,514
Reaction score
767
1525774_10151978222162655_700022395_n.pngRafiki yangu alikuwa amengozana na mke wake wakati anapiga hii picha. Ilikuwa ghafla tu akaachia mkono aliokuwa amemshika mke wake ili tu awahi kuipiga hii picha.mke wake kamchunia hataki kusemezana nae. jamaa kamwambia 'Hivi umeshawahi ona mbwa akiendesha gari" ha ha ha ha, mwana jf we umeona?
 
Back
Top Bottom