Anajisikia vibaya kama furaha yangu isiposababishwa na yeye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anajisikia vibaya kama furaha yangu isiposababishwa na yeye

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kibhopile, Nov 25, 2011.

 1. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Asalaam Aleykum!
  Hope mu wazima ndugu zangu. Naomba tushirikine kwa hili. hivi ninapokuwa na furaha yani nacheka cheka siku nzima basi mchumba wangu anakuwa yupo suspicious na anaweza anihoji kwamba mbona Leo uko so happy eeeh?

  Mara kibao ananambia anataka kutoka na rafiki zake yani only girls nasema fine we nenda but just make sure u deserve urself out there, basi inakuwa fresh anarudi yuko happy na ananipa story zote huko ilikuwaje lets say kama walienda movie atataka kukuhadithia n u must concentrate hat a kama una usingizi, bt just kuonesha how happy she is.

  Lakini Mimi sasa kama nikiomba sometimes kutoka na washkaji zangu na nikirudi tu niko happy basi lazima ataninunia, mbaya zaidi kama akijua source ya hiyo happyness Yangu kwamba ni football match na chelsea ndo iliyoshinda aiseee hadi kesho ukimwambia vipi Leo hatupiki utasikia mwambie "mwambie drogba akupikie"

  Basi inakuwa msala inabidi ukitoka na washkj ukirudi furaha zote unaacha mlangoni. ngoja niulize hivi wadada huwa mnapenda nyie tu ndo mtufanye sisi happy??
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mchumba wako halafu unaishi naye???
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hapo sasa mkuu,..anyway ndio mpango mzima cku hizi,.......suala hapa ni kwamba huyu mchumba/mke si mpenzi wa timu unayoshabikia
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ugonile nkulumba...........
   
 5. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  yes, Igwe ni mchumba Ila naishi nae, we're on the way to marriage.
   
 6. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ugonile malafyale, twa isala isi?
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sentesi ya mwisho imenifanya nifurahi..lakini waweza kumuuliza kwa nini anakuwa hivo..
  Inaonyesha Mwenzio anakuwazia Infii zaidi!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  ana gubu huyo...

  au anauza mechi ndo maana anakuhisi vibaya?
   
 9. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  noted,,
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo kuna walakini na sidhani kama anakuamini au anaiamini kampani yako unayopenda kutoka nayo.
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mweleze mdau. Ndoa gharama. Weka ndani kimya kimya. Khaa umri unasonga mbele mtu ukijifanya eti unasubiri harusi.
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  It takes 2 to tango.................kwa nini amuwazie hivyo?

  Mpwa hii ni hatari na unatakiwa kuung'oa mzizi wa fitina mapema! lazima ujue ni kwanini awe hivyo au la yeye ni mbinafsi.....na hiyo ni hatari nyingine!
   
 13. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  cousin, yawezekana suala la ubinafsi, coz this type of wivu ni noumer.
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Please give him a break, duuuuuuuuuuuuuu!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anakasirikia mpaka mechi ya kwenye TV??
  She is got issues. Ongea nae umuulize tatizo lake ni nini haswa...yawezekana anapenda uhuru wake ila hapendi na wewe uwe huru..au hapendi marafiki zako na hiyo ya mechi ni kisingizio tu...au anahisi ni zaidi ya mechi ndo hua inakufurahisha.

  Nyooshaneni mapema usije ukawa kama yule anaelalamika mume hatoi pesa ya matumizi wakati hata wakati wa uchumba alikua hivyo hivyo na akaolewa nae.
   
 16. data

  data JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,732
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  ego... she is!!
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahhaaaaaaaaaaaa duh!
   
 18. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  du hii kali..ukamwambie Drogba...na mie kuna siku ilinitokea hii, nilichelewa kurudi home then kuna kitu nilimuuliza (sikumbuki ilikua nini) akanijibu eti nikaulize castle lager! and she was very serious
  anyway...anaonekana ana wivu sana na pia nahisi yuko "selfish" kwa sababu anapenda yeye tu kusikilizwa! kikubwa ni kuongea nae tu vizuri na kuelewana, wote mnahitaji kusikilzana na kupendana
   
 19. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ana hofu na wewe, inawezekana umemuonyesha some kind of cheating au kwa namna moja au nyingine huko nyuma ulishawahi kuharibu ndiyo maana anakuwa hivyo. Oherwise kama hakuna sababu ya msingi huyo binti anapaswa kujirekebisha na hiyo tabia. Hiyo ni mojawapo ya tabia za kuwa na wivu kupita kiasi. Tatizo hili huleta karaha badala ya raha kama busara haitatumika ktk maamuzi!
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 644
  Trophy Points: 280
  Huyo yupo kwenye majaribio ya kutikisa kiberiti ili ajue kama kimejaa au bado kidogo. Ushauri wa bure: fanya mpango uoe acha hii longolongo ya mchumba wakati mnaishi kama mme na mke.
   
Loading...