kibhopile
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 1,505
- 753
Habari ya Asubuhi, kama umeamka vyema na pia umemka katika hali isiyo njema usihofu it`s just a new day with the new lots of possibilities. Katika Maisha Hakuna majuto bali ni mafunzo tu ya kutuimarisha tuwe bora kabisa. Naomba uusimamishe huo mwili with a positive thinking ya Kuwa kama umeiweza jana leo pia utaiweza, come what may. Fear is not real it only exist when you think of it.