Maisha club yafunguliwa rasmi mtwara.

Maisha club yafunguliwa rasmi mtwara.

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
1,514
Reaction score
766
Jana tarehe 22/03/12 nimeshuhudia ufunguzi wa Club Maisha Mtwara, ilikuwa mida ya saa 10:15. Shampeni na mafataki yalipigwa kiaina. Club iko bora kwa kubata pande zote VIP ama kajambanani kote kuko mzuka. Maspotlight yanaeleweka, dancing floor ft 12x12, kaunta za kutosha, staffs wa ukweeh ingawa wengi ni kutoka kenya (i heard hata wale strippers ni wakenya) lakini pako fresh sana.
Good tym fellars.
 
Back
Top Bottom