Makandarasi wa Bara bara.

Makandarasi wa Bara bara.

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
1,514
Reaction score
767
Habari zenu.
Nina maswali machache yananitatiza kuhusu bumps katika barabara nahisi majibu ya wataalamu yatasaidia.

1. Je katika mafunzo yenu ya ukandarasi huko vyuoni huwa mnafundishwa kuhusu bumps?? mfano An introduction to road bumps etc.. au ni ujuzi binafsi?

2.Kama mnafundishwa kuhusu bumps, je lengo kuu ni lipi? zingatia kwamba hayana uwiano mengine kama matuta ya viazi,mengine malinda, mengine kama vitanda, mengine kama steji ya kuimbia muziki.

3. Je kama hiki kitu ni world wide kwanini wakandarasi wa nje wanapojenga barabara zetu huwa hawaweki bumps na kuwakabidhi ninyi kisha baada ya kiongozi kupita kuifungua mnaipiga bumps??

4. Je taaluma hii ya bumps inajiaandaa vipi kukabiliana na teknolojia ya magari yaendayo kwa kasi na fryovers??

Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri.
 
Back
Top Bottom