Search results

  1. snow snow

    Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku

    Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku. Mwaka jana Kim jong un alionekana akilia na kuomba msamaha mbele ya gwaride kwa kushindwa kudhibiti covid na uchumi , ilikwa tu ni ngonjera. Ni wiki mbili tangu mwaka 2021 uanze akisimama na kupungia magwaride yake yakipita na...
  2. snow snow

    Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi Wine na kumuweka chini ya ulinzi, amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu

    Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa asilimia 65 kwa 28 .nini maoni yako?
  3. snow snow

    Laizer aiomba Serikali kupeleka walimu shule aliyojenga, asema ikiwa 'English Medium' atajenga mabweni

    LAIZER AMEOMBA SERIKALI KUPELEKA WALIMU SHULE ALIYOJENGA Baada ya Bilionea Saniniu Laizer kukamilisha ujenzi wa Shule aliyoijenga kwa pesa zake na kugharimu milioni 466 ili kusaidia Jamii inayomzunguka, Laizer ameomba Serikali kupeleka Walimu katika shule hiyo ili ifunguliwe. =======...
  4. snow snow

    Chama cha Democratic kimepata ushindi muhimu katika duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya Baraza la Seneti katika jimbo la Georgia kwa kunyakua

    Chama cha Democratic kimepata ushindi muhimu katika duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya Baraza la Seneti katika jimbo la Georgia kwa kunyakua kiti kimoja na kuongoza katika kiti cha pili ambacho matokeo yake hayajatangazwa bado. Ushindi huo kutokana na matokeo ya awali unakaribia...
  5. snow snow

    Uchaguzi wa Uganda 2021: Ukabila, Jeshi na Siasa za Uganda katika uchaguzi

    WAKATI Uganda inapata Uhuru wake mwaka 1962, akili za wakubwa wawili wa serikali mpya zilikuwa zinawaza mambo tofauti kuhusu muundo wa Jeshi la Uganda. Rais wa kwanza, Edward Mutesa, kutoka kabila la Waganda na Waziri Mkuu wake, Apollo Milton Obote, walikuwa na picha tofauti kuhusu jeshi...
  6. snow snow

    Wanajeshi 300 wa mafunzo watumwa katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, huku kukiwa na wasiwasi

    Urusi imetuma askari wa ziada 300 wa mafunzo katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kukabiliana na kile Wizara ya mashauri ya kigeni ya nchi hiyo imesema "kushuka kwa kiwango cha usalama kwa hali ya juu ". Inasema serikali ya CAR , ambayo inatishiwa namakundi ya waasi kabla ya uchaguzi wa...
  7. snow snow

    US naval versel yani meli ya kivita kwenye maji ya Afrika Mashariki

    Tangu juma tatu mpaka hivi sasa navyo ongea naval vessels(yani moja ya meli za kivita ) ya marekani iko kwenye maji yetu yani EAC Afrika masharikii ikiwachukua wanajeshi wake walioko somalia takribani 700 walio kuwa wakiwapa mafunzo wanajeshi wa Somalia. ikiwa ni agizo toka kwa Trump kutoa...
  8. snow snow

    Vikwazo vya kiuchumi ni nini na viko vya aina ngapi?

    VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA ATHARI ZAKE Kitendo cha taifa letu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuingia katika Uchumi wa Kati, ni hatua ya kimaendeleo. Lakini leo hii hoja ntakayoiweka mezani ni swala linalozungumzwa mara nyingi katika medani ya siasa za Kimataifa, mahusiano ya kimataifa na baadhi...
  9. snow snow

    Vladmir Putin akanusha kumuua kiongozi mkuu wa upinzani Alexei Navalny

    Raisi wa Russian Vladimir Putin leo alikuwa Live kwenye screen za nje akifanya kikao cha mwisho wa mwaka na waandishi wa habari , ametangaza kufukuza chombo cha habari kilicho kuja ofisini kwake na vigezo vya kuonyesha alie jaribu kumuua Navalny kwa sumu yupo kwenye serikali yake sekta ya ulinzi...
  10. snow snow

    Maiduguri-NigeriaMaiduguri-Nigeria Governor Aminu Bello Masari wa jimbo la Katsina ametangaza kuachiwa kwa wanafunzi 344 wa kiume wa shule ya sayansi

    Maiduguri-NigeriaMaiduguri-Nigeria Governor Aminu Bello Masari wa jimbo la Katsina ametangaza kuachiwa kwa wanafunzi 344 wa kiume wa shule ya sayansi nchini humo jana alhamisi,ni baada ya wanafunzi hao kutekwa na Boko haram ijumaa iliyopita yani maana yake kwa siku 6 . Gavana alikanusha kuwa...
  11. snow snow

    Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya kutoa shukrani kufuatia ushindi wa CCM

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya kutoa shukrani kufuatia ushindi wa CCM wa uchaguzi mkuu uliofanyika octoba 28,mwaka huu.
  12. snow snow

    Je, siasa za upinzani zimebadilika pwani ya Kenya?

    Kushindwa kwa mgombea wa chama cha upinzani cha Orange Democratic (ODM) katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Msambweni, pwani ya Kenya, kumeleta maswali mengi na kuzua mihemko katika jukwaa la kisiasa nchini Kenya. Mwaniaji wa chama cha ODM Omar Boga alibwagwa na mgombea huru Feisal Badder...
  13. snow snow

    Rais Museveni amteua tena mwanae kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi

    Rais Museveni amteua tena mwanae kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye pia ni amiri jeshi mkuu amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF)na kumrejesha mwanae Lt.Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa rais yaani Special Force...
  14. snow snow

    Hotuba ya Tundu Lissu aliyotoa baada ya kupokea tuzo ya kupigania uhuru, haki na utawala bora (Bush - Thatcher awards for freedom) kutoka IDU

    HOTUBA YA MH. TUNDU LISSU ALIYOTOA BAADA YA KUPOKEA TUZO YA KUPIGANIA UHURU, HAKI NA UTAWALA BORA ( BUSH - THATCHER AWARDS FOR FREEDOM) KUTOKA UMOJA WA VYAMA VYA KIDEMOKRASIA DUNIANI (IDU). Hotuba hii imetafsiriwa kutoka lugha ya kiingereza na Hosea Ikubisabu. Mh. Mwenyekiti Rt. Stephen...
  15. snow snow

    Mshirika mkuu wa Trump Mitch McConnell avunja kimya na kumpongeza Biden

    Senata McConnell alizungumza baada ya wajumbe wa uchaguzi -electoral college kuidhinisha rasmi ushindi wa Bw Biden dhidi ya Trump. Mdemocrat alishinda kura za wajumbe 306 dhidi ya Trump ambaye alipata kura 232. Rais Trump bado hajakubali kushindwa, na amekuwa akiendelea kutoa madai yasiyo na...
  16. snow snow

    Solarwind washerekea kutokudukuliwa kwa miaka 11 kwa kuweka bango lao kwenye NewYork Stock Exchange. (Business software manufacture)

    Solarwind washerekea kutokudukuliwa kwa miaka 11 kwa kuweka bango lao kwenye NewYork Stock Exchange. (Business software manufacture) Kampuni ya solarwind ilianzishwa 1999 ambapo mpaka sasa ni miaka 21 Tulsa, Oklahoma,U.S, hii ni moja ya kampuni inayo tengeneza Software au programu za kompyuta...
  17. snow snow

    Tume ya Mawasiliano Uganda inataka Google kufunga vituo kadhaa vya YouTube

    Tume inayosimamia mawasiliano nchini Uganda (UCC) imeandika barua kwa kampuni ya Marekani ya Google, ikiitaka kampuni hiyo ifunge stesheni kadhaa za televisheni zinazopeperusha matangazo yake kupitia You tube. Miongoni mwa stesheni hizo ni Ghetto TV, inayomilikiwa na chama cha National Unity...
  18. snow snow

    I love food production in hotel and domestic. So who is "Chef" and "others" in kitchen?

    Chef de cuisine Main article: Chef de cuisine Other names include executive chef, chef manager, head chef, and master chef. This person is in charge of all activities related to the kitchen, which usually includes menu creation, management of kitchen staff, ordering and purchasing of inventory...
  19. snow snow

    Naomba mnipokee na mnipe ushirikiano

    My brother directed me here ameniambia kuna watu naweza ku Catch up with .
  20. snow snow

    US Presidential Electors Confirm Joe Biden’s Victory

    WASHINGTON - With the casting of their Electoral College votes Monday, electors formally gave Joe Biden more than the 270 electoral votes needed to certify his election victory. With Hawaii’s four electoral votes the last to be tallied, Biden has 306 electoral votes to President Donald Trump’s...
Back
Top Bottom