Vladmir Putin akanusha kumuua kiongozi mkuu wa upinzani Alexei Navalny

snow snow

Senior Member
Sep 12, 2014
118
88
Raisi wa Russian Vladimir Putin leo alikuwa Live kwenye screen za nje akifanya kikao cha mwisho wa mwaka na waandishi wa habari , ametangaza kufukuza chombo cha habari kilicho kuja ofisini kwake na vigezo vya kuonyesha alie jaribu kumuua Navalny kwa sumu yupo kwenye serikali yake sekta ya ulinzi wa juu.

Navalny ambaye ni mpinzani mkuu wa serikali ya Vladmir putin na mchunguzi wa maswala ya kiserikali aliharibiwa kuuwawa kwa sumu ambapo warashia 6 wamewekewa vizuizi na EU kwa kubainika kushiriki shambulio la mauwaji ya Navalny.

Putin alikana madai hayo akasema Navalny hatukuwa na shida nae mpaka kumpa sumu kwa namna hiyo na angetaka afe angekufa .Navalny alijiskia mgonjwa alipo kuwa akisafiri kwenye ndege safari ya ndani russia kwenda moscow na alihamishwa hospitali ujerumani siku mbili badae anapopatiwa matibabu ripoti inasema ni alipewa sumu ainaya (Novichok) ingawa hajafa.

----
Navalny, who nearly died in the attack, was evacuated to the Charité clinic in Berlin for treatment.

In the Kremlin’s first public reaction to the accusations, Putin accused US intelligence agencies of leaking information in the case. “It means that this Berlin patient has the support of the American intelligence services,” he said.



The recent investigations into Russia’s security services have shown that data security has become an urgent issue of national security for the Kremlin.

“You don’t think we know that they’re tracking geolocations?” Putin said, attempting to laugh off the investigation. “Our intelligence agencies know that. Agents of the FSB and other special agencies know this. And they use their telephones where they think it’s necessary, not hiding their location.”

Putin’s remarks appeared to confirm one of Bellingcat’s key findings: that agents were indeed following Navalny. “Yes, he was being followed, it was the FSB, but they didn’t poison him and they didn’t try to kill him,” Navalny paraphrased Putin’s remarks in an online post.

Christo Grozev, the lead Russia investigator for Bellingcat, said: “Of all the possible defence narratives, Putin appeared to choose the worst of all. Essentially validated 100% of our findings.”

Putin also accused the US government of sponsoring other investigations into his family and associates. One, which was not mentioned on television, used property and business records to bolster claims that he had a daughter from a secret mistress.

“That’s the Department of State and US security services, they are the real authors. Anyway, this has clearly been done on their orders. This is absolutely obvious,” Putin said.

Speaking at an annual year-end press conference, Putin also addressed the coronavirus epidemic, which has killed 48,000 people in Russia, according to official statistics (and far more according to informal tallies). He said he had not yet been inoculated with Sputnik V, Russia’s coronavirus vaccine, because it was not recommended for people over 65.
 
Ndo nashangaa
Screenshot_20201218-104655.png
jamaa anatwit zake huko,huku jf watu wanadai kafa dah!
 
Kwani madikteta huwa wanakubali?
Ni sawa na meko akubal ndiye alitoa order Lissu amalizwe
 
Sijaona matusi humu ya kumtusi Rais Putin,au kwakuwa ni mzungu?
Angekuwa mwafrica mpaka sasa keshatukanwa matusi kama yote.
 
Back
Top Bottom