Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi Wine na kumuweka chini ya ulinzi, amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu

snow snow

Senior Member
Sep 12, 2014
118
88
Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa asilimia 65 kwa 28 .nini maoni yako?
 
109098765.jpg
 
Back
Top Bottom