Search results

  1. ManDizzo

    Sheria inasemaje endapo nimemkopesha mtu pesa bila maandishi

    Mkuu jaribu kwenda kuongea nae ukiwa unarekodi Fanya kama unamuulza awe anakili ulimkooesha na wengine ili kukamilisha ushahidi then uchukue hatua
  2. ManDizzo

    Wanawake au wanaume mliowahi kutongoza mlifanyaje mlipokataliwa?

    We jamaa yupo sawa kabsa yani..[emoji848] Hongera mwenzetu upo tofauti na cc[emoji42][emoji42]
  3. ManDizzo

    Wahitimu wa Chuo na hawana kazi tukutane hapa

    Pole sana mkuu, Never lose hope, mda wako utafika! Endelea na mapambano bila kuchangua kazi cha msingi usibweteke mtt wa kiume, niliuzaga matunda, nilipiga saidia fundi, nikawa nasajil laini kwa alama za vidole & nikajitolea kama mwalimu kabla ya kupata kijimwangaza kdg. One day yes!
  4. ManDizzo

    Sitokaa nioe: Hawa wanawake tulioambiwa tuishi nao kwa akili hawafai hata kuishi nao

    Amkeni tayari hukuu Ila pole mkuu ndo uwanaume huo Kuoa maana yake unakubaliana na kila litalotokea yan liwalo na liwe tu[emoji1781]
  5. ManDizzo

    Machache usiyoyajua kuhusu Zanzibar.

    Simu za ku slide ni simu za mtelezo/mseleleko
  6. ManDizzo

    Naomba Kujua namna ya kuangalia deni la HESLB online

    Umefikia hatua gan?? Umeji register na kulog in then haujui namna ya kuangalia?? Au unaishia hapo nje hata acc yako haujacreate
  7. ManDizzo

    Huu ndiyo uongozi sasa baada ya kupatwa kwa miaka mitano iliyopita!

    Kuhusu ajira hakika omeongea ukweli mtupu Mapungufu yapo ktk kila uongozi na yataendelea kuwepo mkamilifu hakuna cha msingi unafuu tu
  8. ManDizzo

    Naomba kwa yoyote anae uza vitu vya saluni ya kiume ajitokezeanitajie bei zake lakin asiwe nje ya daresalaam

    Kuna vioo vikubwa viwili frame alminium Kama bado haujapata njoo inbox
  9. ManDizzo

    Maswali kuhusu ajira za SBL

    Mimi nilichoelewa hapa ni kuwa uliambiwa peleka cv paleee, kwahyo ulivofika ni kusalimiwa na kujuliwa hali ya home tu. Naafikiana na ww mkuu, ofisi nyng hr anapokea mtu kutoka kwa mtu anaemfahau au kupewa oda. Uwa najiulizaga sana sijui ni sababu za kiusalama au kujuana tyu
  10. ManDizzo

    Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye usaili kupitia Brighter Monday?

    Nimewai itwa mara moja nikapiga written then nkapga oral tukashindwana Lakini kabla ya hapo niliwai pokeaga sms ya kitapeli, alidai niliomba kazi wanapitia cv yng ni nzuri so nitume pesa anipitishe then mshahara wa kwanza atakata 500k afu alidai salary ni 1.8m cm hapokei, ile kampuni niigugo...
  11. ManDizzo

    Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

    Bora wewe una moyo bado unafatilia Mimi nimeamua kutoka kabsa nisiendelee kuskilza matokea
  12. ManDizzo

    Kwa huu mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu; Gharama za uchaguzi ujao bora zitumike kutoa ajira

    Habari wakuu, Kwa huu upepo wa uchaguzi mwaka huu pesa za kugharamia uchaguzi zinazotoka katika kodi zetu bora zitumie kuajiri vijana waliopo mitaaani toka 2015 au ziongeze mishahara tu at least tutakuwa tumezitendea haki. By the way hongereni CCM kwa ushindi wa kishindo. CCM chaguo la...
  13. ManDizzo

    Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

    Hii sio ccm tena itakuwa ni CCM+ au CCM PRO
  14. ManDizzo

    Kusubiri 2025 ni kujifariji na kupoteza muda

    Tunanza uuuuupyaaaaa Sema sio kesi namba tunaisoma sote haijalishi ni chama gani
  15. ManDizzo

    Saashisha Elinikyo Mafuwe ni nani?

    Kwakweli Hii too much!
  16. ManDizzo

    Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    Najisikia hadi kinyaa kujadili uchaguzi wa mwaka huu
  17. ManDizzo

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Yajayo yanashangaza zaidi
Back
Top Bottom