chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,132
- 22,555
Hata maisha yanataka usiwe na aibu kwenye Jambo linalohusu maslai na mustakabali wako.
Mkei atembee na ndugu yako sebuleni mbele ya watoto kwasababu ya maslai yake ya nyege asiwe ata na aibuu??
Tatizo linalo turudisha nyuma waafrica Ni ubinafsi. Ukiwa unanufaika na utawala ata wenzako wanaokuzunguka milion+ wakiwa wanaumia utaendelea kukombatia utawala kwasababu unanufaika.
Wagombania Uhuru wangekuwa hivyoo mpaka leo biashara ya utumwa isingeisha.
Lini mbunge au mwana CCM alishawai kushauri wafanyakazi wapandishiwe mishahara? UBINAFSI KULINDA UGALI WAKE.
AFRICA KUENDELEA TUNA KAZI KUBWA.