Maswali kuhusu ajira za SBL

Mwamba1961

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
610
400
Habari wana JF,

Mimi ni miongoni mwa vijana tunaotuma maombi ya ajira kwenye kampuni za SBL kupitia mfumo wao wa maombi ya ajira. Naomba mnijuze kama mnajua

1. Ni muda gani unaitwa kwenye interview tangu deadline ipite ?

2. Je kuna njia nyingine ya utumaji wa nafasi ya kazi , mfano kupitia postal ?

3. Unanishauri nini ili niitwe kwenye interview ??

KARIBUNI .........
 
Mimi pia niliapply mkuu. Nimesubiri mpaka nimechoka. Naelekea kukata tamaa sasa niendelee na maisha mengine
 
Mimi nilishapataga hapo na niliulizwa maswali haya hapa!

Vipi home mvua sinanyesha?

Vipi mama siku hizi miguu himsumbui?

Ile Chanjo ya ndama iliwasadia?

George ameacha utundu shuleni anaudhulia?

Vipi shamba langu linaendeleaje?
 
Mimi nilishapataga hapo na niliulizwa maswali haya hapa!

Vipi home mvua sinanyesha?

Vipi mama siku hizi miguu himsumbui?

Ile Chanjo ya ndama iliwasadia?

George ameacha utundu na shuleni anaenda?

shamba langu linaendeleaje?
 
Ulichoandika kinasadifu avatar yako no question about that
 
Mimi nilichoelewa hapa ni kuwa uliambiwa peleka cv paleee, kwahyo ulivofika ni kusalimiwa na kujuliwa hali ya home tu.

Naafikiana na ww mkuu, ofisi nyng hr anapokea mtu kutoka kwa mtu anaemfahau au kupewa oda. Uwa najiulizaga sana sijui ni sababu za kiusalama au kujuana tyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom