Machache usiyoyajua kuhusu Zanzibar.

Salaam wakulungwa...
Zanzibar hakuna bunge-kuna baraza la wawakilishi.
Zanzibar hakuna soko-kuna markit.
Zanzibar hakuna shule-kuna skuli.
Zanzibar hakuna kijiji-kuna shamba.
Zanzibar hakuna bomba(lakutoa maji)-kuna mfereji.
Zanzibar hakuna m'bunge-kuna muwakilishi.
Zanzibar hakuna balozi-kuna sheha.
Zanzibar hakuna daftari-kuna buku.
Zanzibar hakuna rula-kuna mstari.
Zanzibar hakuna kalamu-kuna pen/pensel.
Zanzibar hakuna machinga-kuna juakali.
Zanzibar hakuna video ya ngono-kuna kibuluu.
Zanzibar hakuna ice cream-kuna lai.
Kwa kuzingatia hayo machache unaweza kupata urahisi wakuwasiliana na wenyeji wa nchi ya Zanzibar. Karibuni kwa nyongeza.
Zanzibar hakuna bunge ila wabunge wapo.
 
hakuna koleo/chepe-kuna Paulo
hakuna viaz kuna mbatata
hakuna mfuko wa sandarusi kuna kipolo
hakuna kuvuka barabara bali kuna kupinda
hakuna nishikie/nikamatie bali kuna zuia
 
Salaam wakulungwa...
Zanzibar hakuna bunge-kuna baraza la wawakilishi.
Zanzibar hakuna soko-kuna markit.
Zanzibar hakuna shule-kuna skuli.
Zanzibar hakuna kijiji-kuna shamba.
Zanzibar hakuna bomba(lakutoa maji)-kuna mfereji.
Zanzibar hakuna m'bunge-kuna muwakilishi.
Zanzibar hakuna balozi-kuna sheha.
Zanzibar hakuna daftari-kuna buku.
Zanzibar hakuna rula-kuna mstari.
Zanzibar hakuna kalamu-kuna pen/pensel.
Zanzibar hakuna machinga-kuna juakali.
Zanzibar hakuna video ya ngono-kuna kibuluu.
Zanzibar hakuna ice cream-kuna lai.
Kwa kuzingatia hayo machache unaweza kupata urahisi wakuwasiliana na wenyeji wa nchi ya Zanzibar. Karibuni kwa nyongeza.
Zanzibar hakuna mbunge?hapo umetokota fanya research upya dogo usikurupuke kama unakojoa nje
 
Zanzibar kuna mbunge na muwakilishi kama hujui, yaani kajimbo kamoja ambako hakazidi watu elfu 5, kina mbunge na muwakilishi
 
Salaam wakulungwa...
Zanzibar hakuna bunge-kuna baraza la wawakilishi.
Zanzibar hakuna soko-kuna markit.
Zanzibar hakuna shule-kuna skuli.
Zanzibar hakuna kijiji-kuna shamba.
Zanzibar hakuna bomba(lakutoa maji)-kuna mfereji.
Zanzibar hakuna m'bunge-kuna muwakilishi.
Zanzibar hakuna balozi-kuna sheha.
Zanzibar hakuna daftari-kuna buku.
Zanzibar hakuna rula-kuna mstari.
Zanzibar hakuna kalamu-kuna pen/pensel.
Zanzibar hakuna machinga-kuna juakali.
Zanzibar hakuna video ya ngono-kuna kibuluu.
Zanzibar hakuna ice cream-kuna lai.
Kwa kuzingatia hayo machache unaweza kupata urahisi wakuwasiliana na wenyeji wa nchi ya Zanzibar. Karibuni kwa nyongeza.

Hakuna MBENEKI kuna MISIKI
 
Watu wa bara wamekaa kuangalia kibuluu
 
Zanzibar hakuna mbunge?hapo umetokota fanya research upya dogo usikurupuke kama unakojoa nje
wabunge ni watumishi wa bunge ambalo liko bara kwa ajili yakuiwakilisha Zanzibar, si Watumishi wa SUK. Naamini wenye uelewa wamenielewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom