Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

WanaJF,

Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa kuambulia kura 27,000 tu wakati mshindani wake Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM amefanikiwa kujizolea kura zaidi ya 80,000...
muandish mfuasi wa meco full😂
 
Sawa Yaishe wameshindwa na watashinda na waliobaki wote na bungeni watakuwa wote na katiba wataibadilisha MM NAJIANDAA KWA SELF Sustaining life najua huko mbele kutakuwa uzuri ssna
Pole ni kawaida penicillin injection kuuma.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
mi naona tunge piga kura za kunyoosha vidole au sauti tuh maana haya makaratasi ni ushubwada kwa kwel😊
 
Atapewa ukuu wa mkoa kama mwenzake aliyemtangulia yule RC wa Manyara.
Level ndogo kamtendea kazi kubwa Sana atampa uwaziri na yule DC wa Arusha aliyepewa udc Kama fadhila ya kutishia kumuua Zito na wapinzani rejea kauli alizotoa akiwa Iringa.

Ukiwashughulikia wapinzani utashtaafu na jiwe haijalishi lini hata Kama ni 2040. Njia hii wazi lzm atabadili katiba tujiandae tu kulala bila boksa.
 
Tulipowaambia mtakuja na maneno mapya hamkuamini,,tuliwaambia nyomi sio la wapiga kura hamkuamini,tuliwaambia ni mchaga akishika jani la Msale ni kuomba msamaha hamkuamini,ss leo mnakuja na maneno mapya mmenywea kama kakimba cha mwisho,wote chali,mmelegea kama mlenda,na subirini tena matokeo mengine yenye maumivu zaid ya hayo
 
Ujinga mtupu, eti uchaguzi huru na haki!. umejaribu kutengeneza mazingira ili Mbowe aonekane hafai.

Kumbe mmeshinda kwa kujaza kura feki kila kona, Mbowe ni mwamba kawasumbua hamna hamu nae mpaka mmesaidiwa na tume.

Wametangaza matokeo haraka haraka usiku mnene kuogopa reaction ya wapiga kura, then asubuhi mapema defender zitaanza kuzunguka jimbo zima la Hai kuwatisha wapiga kura.

Ndio maana Ndugai alikuwa anachekelea bungeni wapinzani hawatarudi, kumbe huu mpango wa kujaza kura feki ndio ulikuwa kwenye vichwa vyao.

Mngeweza kumtoa hata roho, bora mmemuachia roho yake
Mlisema mtaandamana, vipi mpo wapi nije?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom