Search results

  1. Webabu

    Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Prince Wiliiam si yule anayeitwa mbakaji.Hatakiwi kabisa.
  2. Webabu

    Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

    Israel wamezibomoa na kuua mpaka wagonjwa. Sasa hao Hamas wanajificha wapi mpaka muda huu wakati maficho yao wameshayavunja.
  3. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa.

    Katika kulinganisha ukubwa wa silaha basi za Hamas ni kama toys.Si unaona moto unaoshuswa na Israel. Cha ajabu tu ni kwamba bado hawajashinda.
  4. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa.

    Wewe umezidi tena chuki na Hamas hata penye ukweli. Kuna video pia na maafisa wa UN wameshuhudia. Na dalili zote zipo kwamba watekelezaji ni jeshi la kiyahudi la IDF ambao ndio waliokuwa wamezishikilia hospitali hizo kwa muda mrefu baada ya kuzivamia.
  5. Webabu

    Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Ingekuwa ni Afrika ingekuwa ni nongwa kubwa na sisi tungeandamana kudai kiongozi wetu ni mzee sana. Si unakumbuka tulivyomtenga na kumuua Gadafi kwa visingizio vya kijinga.
  6. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa.

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  7. Webabu

    Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

    Kwa taarifa yako hospita karibu zote za Gaza ni kifusi.
  8. Webabu

    Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
  9. Webabu

    Hamas wamesema wataweka silaha chini na kuachia mateka wote pindi taifa la Palestina likiundwa. Israel inataka nini tena zaidi ya hapo?

    Wacha kuwafanyie kejeli Hamas ambao unajua hawana HIMARS wala ndege hata 1 ya kivita. Hapo walipofika na bila kusalimu amri ni sehemu ya kutimiza ahadi yao.
  10. Webabu

    Hamas wamesema wataweka silaha chini na kuachia mateka wote pindi taifa la Palestina likiundwa. Israel inataka nini tena zaidi ya hapo?

    Kumekuwepo na nukta ambazo zimekwamisha makubaliano ya kusitisha vita kwa muda mrefu kati ya Israel na Hamas. Israel imeshikilia haitaki kuona Hamas ikiendelea kuitawala Gaza na la plli ni kupata mateka wote wanaoendelea kushikiliwa na Hamas. Kulikuwa na baadha ya nukta pia viongozi wa Hamas...
  11. Webabu

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

    Ingekuwa ni Afrika hilo lingekuwa ni jepesi kufanyika.Marekani japo serikali inailinda Israel lakini mauwaji ya namna hiyo hawawezi kufanya.
  12. Webabu

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Takwimu za IMF ni kulinda maeneo yenye mirija yao ya kinyonyaji.
  13. Webabu

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Takwimu zinazounga mkono unyonyaji wao.Hazina ukweli wa kutosha.
  14. Webabu

    Yahya Sinwar akagua vikosi vyake Gaza. Apigiana simu na viongozi wa Hamas walio nje

    Mbona vyombo vya usalama vya Israel vimekubali.Wewe bado unapinga. Hamas Leader Yahya Sinwar Emerges from Gaza Tunnels: Israeli Intelligence Confirmation
  15. Webabu

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

    Hujaona kuwa wayahudi wako huko pia lakini wameanza kujificha na kuacha kuhudhuria masomo.Na wao utasemaje sasa.
  16. Webabu

    Yahya Sinwar akagua vikosi vyake Gaza. Apigiana simu na viongozi wa Hamas walio nje

    Umeangalia hiyo video hapo juu hata unihukumu hivyo?
  17. Webabu

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Kuna vitu vinachanganya sana katika kulinganisha uchumi wa nchi na maisha ya watu. Nashangaa sana kati ya Tanzania na Kenya.Ukienda Kenya utagundua wanaishi maisha duni sana kulinganisha na watanzania na hata miji yao haina ubora kuliko Dar es salaam.Lakini bado tu wametuzidi sana katika GDP.
  18. Webabu

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Kuna kitu nimekifahamu kuhusu kupanda kwa Morocco kiuchumi.Ni kama vile Kenya inavyonyonya utalii wa Tanzania kwa kuutangaza mlima Kilimanjaro. Morocco ni soko kubwa la dhahabu za Afrika Magharibi.Hii ni kutokana na nchi za Afrika Magharibi kufuata watalii wanaoingia Morocco kwa wingi sijui...
Back
Top Bottom