Search results

  1. Lio 002

    Msaada juu ya kuanzsha kipindi cha live show kwenye televisheni

    Kichwa cha habari chahusika, Ninaomba kujuwa ni vitu gani unatakiwa kuwa navyo ili uweze kuanzsha kipindi na steps zake ni zipi na gharama zake pia ni zipi? Asanteni sana.
  2. Lio 002

    Nitapata faida gani nikimiliki timu ya mchangani?

    Habar wana jf mm ninawazo la kuanzisha biashara yangu ambayo ita husika hasa na kuanzisha timu yangu ya mpira wa miguu na kuimiliki lakini timu yenyewe ni zile za michangani wakuu jee kama tunavyojuwa biashara yoyote ni lazima kuwe na faida jee kwa mitazamo yenu wakuu kwa umiliki huu wa timu...
  3. Lio 002

    Msaada wa application ya kudownload movie kwenye android

    Habar wana jf mm ninatumia simu ninaomba mmisaidie ni Application gani ni nzur kwa ajili ya kudownload muvi for free plz naombeni mnisaidi wana jf
  4. Lio 002

    Nifahamisheni hili kuhusu Ardhi University

    Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo vingne na ambao GPA zao zpo chini kabisa ambazo hazifai kuomba kupitia tcu 2: Na je hapo ardhi...
  5. Lio 002

    Nifahamisheni wakuu, kudahiliwa moja kwa moja Ardhi

    Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo vingne na ambao GPA zao zpo chini kabisa ambazo hazifai kuomba kupitia tcu 2: Na je hapo ardhi...
  6. Lio 002

    Naomba kuuliza Kuhusu Condom

    Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama ulitumia kondom? Nasubir majibu yenu,nashukuru saana
  7. Lio 002

    Msaada: Kuhusu kusomea Masonry na Bricklaying

    Habar wana jf, Kuna mtu aliniomba ushauri kuwa anataka akasome inshu za MASONRY & BRICKLAYING pale veta ambayo ni short course hyo course inatolewa hapo VETA kwa bahati mbaya mm sio mjuzi wa hiyo kitu hapo juu,jee kwa anaefahamu unamshaur nn huyu mtu maana yy anapenda mambo ya kujenga na kila...
  8. Lio 002

    Msaada juu ya kujenga nyumba Dar es salaam

    Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo 1: vyumba vitatu 2: bathroom and toilet 3: sitting room 4: dining room Vitu tunavyoitaji kuvijuwa hapo ni vifuatavyo 1: kwa ukubwa huo wa nyumba...
  9. Lio 002

    Ninahitaji mkopo wa shillingi millioni moja na elfu sabini

    Habar wana jamii forum mini ni muhitimu wa chuo sasa kutokana na ugumu wa kupatikana kwa ajira ninaomba kwa mwenye uwezo wa kunikopa shilingi million moja na sabini then tutakubaliana kutokana na mkataba tutakao wekeana Vitu vinavyo hitajika kwenye hyo biashara ni vifuatavyo; Laini ta tigo...
  10. Lio 002

    Msuva angekuwa Uingereza

    Yaani Tanzania hatuna tofauti yoyote na uingereza maana england mchezaji akicheza na kuperform mechi mbili au tatu tu ujuwe wana muita timu ya taifa hii falsafa ipo sawa sawa na tanzania mchezaji akionekana kwenye mechi mbili au tatu tu ujuwe lazima umkute timu ya taifa kuna mtu anaitwa Bellahno...
  11. Lio 002

    Mr Blue (baycer) the special thread

    Hii ni kwa mashabiki wote wa huyu msanii wetu tuje tuungane kwa pamoja ww ni kama shabiki wa mr blue a.k.a baycer karibu kundini
  12. Lio 002

    Samsung galaxy S5 inahitajika

    Habari wana JF naomba mwenye simu tajwa hapo juu Samsung galaxy S5 original au Samsung galaxy S5 clone, but samahani kama ni clone isiwe clone ya kiivyo nataka iendane na orijinal kdogo asanteni kama unayo tuma picha ya simu na bei yako asante kwa mara nyingne
  13. Lio 002

    Nahitaji ushauri na mawazo yenu pia kuhusu Biashara ya vitu vya kike

    Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama havpo kwenye fassion ila vinanunuliwa saana na madada zetu Nahitaji ushaur wenu asante saana
  14. Lio 002

    Ni vitu gani wanawake wanavipenda ambavyo vipo on fassion?

    Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama havpo kwenye fassion ila vinanunuliwa saana na madada zetu Nahitaji ushaur wenu asante saana
  15. Lio 002

    Nissan March inauzwa

    Habar wana Jf gari tajwa hapo juu inauzwa na bei yake ni milion tatu (3000000) Kwa aliye tayar kufanya biashara anitafute kupitia namba 0788562816 Natanguliza shukrani zangu kwenu Nissan MarchYear : 1998 Color : Red Engine cap. : 998 cc , BroadrimsMakeNissanModelMarchCar typeSedanYear1998...
  16. Lio 002

    Kati ya Laptop na Ipad kifaa gani ni muhimu zaidi kwenye matumizi ya kawaida ?

    Habar wana JF mimi nina hitaji kununua mojawapo kati ya Laptop au Ipad je ni kipi kati ya hiki ni muhimu zaid ya mwenzie na naomba mnitajie huo umuhimu wake upo wap zaid? Natanguliza shukrani zangu kwenu
  17. Lio 002

    Kati ya Laptop na Ipad kipi ni muhimu zaid?

    Habar wana Jf mm nina hitaji kununuwa kimojawapo kati ya Laptop au Ipad je ni kipi kati ya hiki ni muhimu zaid ya mwenzie na naomba mnitajie huo umuhimu wake upo wap zaid? Natanguliza shukrani zangu kwenu
  18. Lio 002

    Huawei Ascend Y 210 inauzwa

    Habar wana Jamiifrorums, Nauza simu tajwa hapo juu Huawei Ascend Y-210 kwa shilingi 100, 000/= Tatizo la simu: Kioo kidogo kime crack but hakina bad effect Kwa seriouz buyerz tuwasiliane ni-PM Asanteni sana.
  19. Lio 002

    Msaada kwa anayefahamu Kuhusu Uwakala wa Tigopesa, M-pesa, Airtel Money na LUKU

    Habar wana jf mm ninataka niwe wakala wa mpesa,airtel money,tigo pesa na Luku lakini sijuwi gharama za hivi vitu plz kwa anaejuwa naomba anielekeze Mpesa gharama yake shilling ngapi,airtell money shilling ngapi gharama zaka,tigo pesa gharama zake kiasi gani na Luku gharama zake ni kiasi gani plz...
  20. Lio 002

    Naomba msaada kuhusu kusoma CISCO

    Habar wana JF mm nilikuwa na shida ya kufanya mtihani wa cisco kwa hyo nikaamuwa kudownload video za tutorial na kitabu cha ccna kipo complete sasa nilikuwa nahitaji kufahamu nitawezaje kufanya mtihani online nahitaji mnisaidie website na gharama za huo mtihani hadi napata hicho cheti nahitaji...
Back
Top Bottom