Msuva angekuwa Uingereza

Msuva angekuwa Uingereza

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Yaani Tanzania hatuna tofauti yoyote na uingereza maana england mchezaji akicheza na kuperform mechi mbili au tatu tu ujuwe wana muita timu ya taifa hii falsafa ipo sawa sawa na tanzania mchezaji akionekana kwenye mechi mbili au tatu tu ujuwe lazima umkute timu ya taifa kuna mtu anaitwa Bellahno huyu ni mwafrika kiasilia lakin ana uraia wa england jamaa kaonekana kwenye mechi tatu tu kwenye msimu huu uingereza wamemwita kwenye kikosi chao cha timu ya taifa yaani kwa hali hii hata msuva angekuwa uingereza angekuwepo timu ya taifa ya uingereza
 
Back
Top Bottom