Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Habar wana jf, Kuna mtu aliniomba ushauri kuwa anataka akasome inshu za MASONRY & BRICKLAYING pale veta ambayo ni short course hyo course inatolewa hapo VETA kwa bahati mbaya mm sio mjuzi wa hiyo kitu hapo juu,jee kwa anaefahamu unamshaur nn huyu mtu maana yy anapenda mambo ya kujenga na kila kitu kihusicho hii kitu