Msaada wa application ya kudownload movie kwenye android

Lio 002

JF-Expert Member
May 10, 2014
436
66
Habar wana jf mm ninatumia simu ninaomba mmisaidie ni Application gani ni nzur kwa ajili ya kudownload muvi for free plz naombeni mnisaidi wana jf
 
Habar wana jf mm ninatumia simu ninaomba mmisaidie ni Application gani ni nzur kwa ajili ya kudownload muvi for free plz naombeni mnisaidi wana jf

Tafuta application inayoitwa showbox, hii ni nzuri sana kwa kupakua movies ukishindwa nipm email yako nikutumie
 
Tafuta tTorrent..ni torrent app nayoitumia naipenda coz nasearch movie nazozitaka toka mitandao kama piratebay,kickasstorrent,limetorrent na mingine kibao...speed nzuri ,interface nzur na haiili process(ram)
 
Back
Top Bottom