Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Habar wana jamii forum mini ni muhitimu wa chuo sasa kutokana na ugumu wa kupatikana kwa ajira ninaomba kwa mwenye uwezo wa kunikopa shilingi million moja na sabini then tutakubaliana kutokana na mkataba tutakao wekeana
Vitu vinavyo hitajika kwenye hyo biashara ni vifuatavyo;
Laini ta tigo pesa shillingi 500000
Laini ya mpesa shillingi 200000
Laini ya airtel money shillingi 200000
Cash tgo pesa sh100000
Cash mpesa sh100000
Cash airtel money sh100000
Float tgo pesa sh100000
Float mpesa sh100000
Float airtel money sh 100000
Jumla ni shillingi 1500000
Vitu ambavyo ninavyo;
Laptop
Hela ya kununulia empty cd and dvd
Sales expectation in minimum
Tgo pesa kwa siku commision 5000
Kwa mwezi ni 150000
Airtel money kwa siku commision
3000
Kwa mwezi ni 90000
Mpesa kwa siku commision 3000
Kwa mwezi ni 90000
MATUMIZI YA LAPTOP
Burn cd 1 sh 2500, expectation customer per day 3 customer, income per day 6000
Kwa mwezi ni sh 180000
Burn dvd 1 3000, expectation customer per day 3 customer,income per day 9000
Kwa mwezi ni 270000
Kurusha nyimbo 3 ni shilling 500, natarajia wateja 5 watakaoingza nyimbo tatu tatu,kipato kwa siku 2500
Kwa mwezi ni 75000
Kuuza muvi kwa njia ya flash au memory card muvi moja 1000,natarajia wateja 4 kwa siku, kipato kwa siku 4000
Kwa mwezi ni 120000
Jumla ya mauzo yoote kwa mwezi 975000.
Other expenses
Umeme kwa mwezi sh 10000
Chakula cha mchana kwa siku shillingi 2000,kwa mwezi ni shillingi 60000
Vocha per day 1000,mwezi 30000
Kodi ya fremu kwa miezi 6 ni 180000
Jumla ya gharama 280000
Faida kwa mwezi
975000 - 280000=695000
Kama vitu vingine havijaenda kama vilivyo pangwa kwa mwezi ni 600000
Kwa mkopo niliokopa na kwa kipato kinacho patikana kutokana mchanganuo huo naweza nikalipa kwa miezi mitatu tu
NB: makadilio niliyoyafanya hapo kuhusu wateja ntakao wapata kwa siku na kipato mtakacho pata kwa siku ni makadilio ya chini
Nyongeza: uchanganyaji wa lugha nilioufanya hapo juu ni kutokana na kuchoka kuandika kwa muda mrefu kwa sababu ninatumia simu kuandika
Natanguliza shukrani zangu kwenu